Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumuombe mungu hao washetani wafungiliwe mbaliViongozi Na Elimu Huku Sheria Zinazowaongoza Zipo
Wanafanya Watakavyo. Bado Tupo Mbali.
Wanaotakiwa Kufungwa Ni Top Layers Serikalini
Wala hili sio swala kumgonja Rais bali mamlaka mbali mbali za serikali zina uwezo wa kufanya hivyo hata wewe leo ukienda mahakamani kuomba tafsiri kuhusu maana halisi ya nani anastahili kuitwa Mbunge ...mahakama itakupa tafsiri na ukiipeleka bungeni wanaondoka asubuhi na mapema...Hivi kwamfano rais wa sasa anaweza kumuamuri spika kuwaondoa hao wabunge kwa kukosa sifa?
Ubarikiwe sana mkuuWala hili sio swala kumgonja Rais bali mamlaka mbali mbali za serikali zina uwezo wa kufanya hivyo hata wewe leo ukienda mahakamani kuomba tafsiri kuhusu maana halisi ya nani anastahili kuitwa Mbunge ...mahakama itakupa tafsiri na ukiipeleka bungeni wanaondoka asubuhi na mapema...
Hukumu ya jiwe huko alikoenda no kubwa Sana, ametupandia roho ya kishetani ndani ya nchi yetu.Ni aibu kubwa sana kama nchi tunaburutwa utadhani ndiyo kwanza tuepata uhuru
Hapa dawa pekee ni kuomba na huyu mama asije ingia kwenye hiyo tabiaHukumu ya jiwe huko alikoenda no kubwa Sana, ametupandia roho ya kishetani ndani ya nchi yetu.
CAG akijasema Bunge limeitia Hasara Serikali kwa kulipa Mishahara Wabunge Fake atashambuliwaWABUNGE WALIOJIPELEKA BUNGENI NANI ANAWALIPA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana baada ya Mchango wa Mhe Halima Mdee Bungeni ambao binafsi niliupenda sana kutokana na umahili wake wa kujenga hoja, baadae alisimama Mhe Kunambi na Mhe Jerry Silaa ambao ni Wabunge wa CCM kujaribu kupinga hoja zake.
Mhe Silaa akiwa anaenda kuhitimisha hoja yake alisema kuna Wabunge wapo Bungeni hata vyama vyao vinawakana. Hapa ndipo nitajenga msingi wa hoja yangu.
Turudi kidogo nyuma kwa maana ya misingi ya kisheria inayoongozwa na sheria Mama ambayo ni Katiba ya JMT. Kwa mjibu wa Ibara ya 66(1) imetaja aina ya Wabunge watakao paswa kuwepo Bungeni kuwa ni watano. Lakini mgogoro uliupo sasa ni Wabunge wanaotajwa katika Ibara ya 66(1)(b) Wabunge wanawake.
Mwanzoni baada ya majina yale kuapishwa tuliambiwa yameletwa na CHADEMA. Hata CHADEMA walipokataa kuwa hatujaleta Spika na Tume ya Uchaguzi walisema yametoka CHADEMA.
Ibara ya 67(1) inazungumzia juu ya sifa anazopaswa kuwa nazo mtu anayeitwa Mbunge. Sifa moja wapo kati ya sifa hizo kuu tatu ni sifa inayotajwa katika Ibara ya 67(1)(b) inasema lazima AWE MWANACHAMA wa Chama cha Siasa.
Sambamba na hoja hizo, Ibara ya 78 bado inazungumzia Wabunge wa Viti maalum ambao ndio msingi wa hoja yangu hapo chini. Ibara ya 78(1) inazungumzia namna vyama vya siasa vilivyoshiriki uchaguzi vitakavyo pendekeza majina kwa Tume ya Uchaguzi. Lakini pia Ibara hiyo hiyo ya 78(4) inayotanguliwa na Ibara ndogo ya (3) inasema "Orodha ya majina ya wagombea wanawake iliyowasilishwa kwa Tume ya Uchaguzi na kila Chama kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ndiyo itakayotumiwa na Tume ya Uchaguzi baada ya KUSHAURIANA NA CHAMA KINACHOHUSIKA.....
Baada ya kunukuu Ibara ya 66, 67 na 78 ninaomba kuuliza Tume ya Uchaguzi na Ofisi ya Spika Mhe Job Yustin Ndugai. Kwa nini jana wakati Mhe Silaa anawakashifu Wabunge kuwa vyama vyao vinawakaa hukuwatetea? Je ni sheria ipi inayoruhusu mtu kuwa Mbunge bila kuwa na Chama cha Siasa? Je, Silaa ni mwongo, mzushi na mfitini na hali ya kukataliwa siyo kweli? Kama ni kweli wamekataliwa,je kwa mjibu wa Ibara ya 78(4) inayosema Chama cha Siasa kitashauriana na Tume, je Tume ilishauriana na Viongozi wa CHADEMA? Je, kama tume haikushauriana na CHADEMA walitumia sheria ipi kuwafanya watu wasio na Chama kuwa Wabunge?
Wapo wanaojaribu kutumia precedent ya Zitto kama case study ya hawa Wabunge wanaosemekana hawana Chama kilichowadhamini, ukweli ni kuwa kesi ya Mhe Zitto Zuber Kabwe ilikuwa mahakamani na ndio maana kulitokea hiyo injuction. Je hawa wamefungua kesi mahakamani?
Sheria hizi zilitungwa na Bunge, je kama mliotunga sheria mnashindwa kuziheshimu vipi kwa ambao si washiriki wa kutunga hizo sheria. Ninadhani ni muda mwafaka kujitokeza hadharani watu wa Tume ili kuweka uhalali wa hawa watu kuendelea kuitwa Wabunge. Kinyume na hapo Wabunge wako wataendelea kudhalilishana kuitana majina ya hovyo. Lakini hata sisi walipa kodi tunataka kujua kama kodi zetu zinawalipa Wabunge halali au Wabunge wa kutengenezwa.
Ahasante.
Ndiyo maana Ndugai na matapeli wenzake wamejiwekea kinga ya kutoshitakiwaWABUNGE WALIOJIPELEKA BUNGENI NANI ANAWALIPA?

Ndiyo maana wanatuita wanyonge hawa wajingaNi aibu kubwa sana kama nchi tunaburutwa utadhani ndiyo kwanza tuepata uhuru
Walisha tuona ni wajingaNdiyo maana wanatuita wanyonge hawa wajinga
kabisaWalisha tuona ni wajinga
Na bado,pale alipo kila akifikiria kuwa kuna timu inafanya special audit hapo BOT mavi yanagonga chupi na kurudi ndani.Tayari ameshaanza kutekeleza hukumu yake.
Mtazame Bashiru leo hii pamoja na mali zake lkn sononeko la moyo linamnyima raha kabisa .
Maana kashuushwa kama embe boribo za tanga zinavyo poromoka kutoka juu hadi chini.
Hayo ndiyo malipo ya ubaya na udokoziNa bado,pale alipo kila akifikiria kuwa kuna timu inafanya special audit hapo BOT mavi yanagonga chupi na kurudi ndani.
Anawaambukiza tu vile vimelea vinavyomfanya aumuke mashavu kama paka wa mgahawani.Ndugai ni wa kuchunga sana, maana hao wengi wao ni wake za watu yeye sijui anapata faida ipi kwa kuwabeba hivyo!!
Hii ni auditing query!! Takukuru kazi hiyo!!
Nasikitika kuona Ndugai anavunja katiba na anaachwa. Ni dhambi kubwa sana anafanya, aliapa kuilinda na sasa anaivunja. MUNGU ANAONAWABUNGE WALIOJIPELEKA BUNGENI NANI ANAWALIPA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Jana baada ya Mchango wa Mhe Halima Mdee Bungeni ambao binafsi niliupenda sana kutokana na umahili wake wa kujenga hoja, baadae alisimama Mhe Kunambi na Mhe Jerry Silaa ambao ni Wabunge wa CCM kujaribu kupinga hoja zake.
Mhe Silaa akiwa anaenda kuhitimisha hoja yake alisema kuna Wabunge wapo Bungeni hata vyama vyao vinawakana. Hapa ndipo nitajenga msingi wa hoja yangu.
Turudi kidogo nyuma kwa maana ya misingi ya kisheria inayoongozwa na sheria Mama ambayo ni Katiba ya JMT. Kwa mjibu wa Ibara ya 66(1) imetaja aina ya Wabunge watakao paswa kuwepo Bungeni kuwa ni watano. Lakini mgogoro uliupo sasa ni Wabunge wanaotajwa katika Ibara ya 66(1)(b) Wabunge wanawake.
Mwanzoni baada ya majina yale kuapishwa tuliambiwa yameletwa na CHADEMA. Hata CHADEMA walipokataa kuwa hatujaleta Spika na Tume ya Uchaguzi walisema yametoka CHADEMA.
Ibara ya 67(1) inazungumzia juu ya sifa anazopaswa kuwa nazo mtu anayeitwa Mbunge. Sifa moja wapo kati ya sifa hizo kuu tatu ni sifa inayotajwa katika Ibara ya 67(1)(b) inasema lazima AWE MWANACHAMA wa Chama cha Siasa.
Sambamba na hoja hizo, Ibara ya 78 bado inazungumzia Wabunge wa Viti maalum ambao ndio msingi wa hoja yangu hapo chini. Ibara ya 78(1) inazungumzia namna vyama vya siasa vilivyoshiriki uchaguzi vitakavyo pendekeza majina kwa Tume ya Uchaguzi. Lakini pia Ibara hiyo hiyo ya 78(4) inayotanguliwa na Ibara ndogo ya (3) inasema "Orodha ya majina ya wagombea wanawake iliyowasilishwa kwa Tume ya Uchaguzi na kila Chama kwa ajili ya Uchaguzi mkuu ndiyo itakayotumiwa na Tume ya Uchaguzi baada ya KUSHAURIANA NA CHAMA KINACHOHUSIKA.....
Baada ya kunukuu Ibara ya 66, 67 na 78 ninaomba kuuliza Tume ya Uchaguzi na Ofisi ya Spika Mhe Job Yustin Ndugai. Kwa nini jana wakati Mhe Silaa anawakashifu Wabunge kuwa vyama vyao vinawakaa hukuwatetea? Je ni sheria ipi inayoruhusu mtu kuwa Mbunge bila kuwa na Chama cha Siasa? Je, Silaa ni mwongo, mzushi na mfitini na hali ya kukataliwa siyo kweli? Kama ni kweli wamekataliwa,je kwa mjibu wa Ibara ya 78(4) inayosema Chama cha Siasa kitashauriana na Tume, je Tume ilishauriana na Viongozi wa CHADEMA? Je, kama tume haikushauriana na CHADEMA walitumia sheria ipi kuwafanya watu wasio na Chama kuwa Wabunge?
Wapo wanaojaribu kutumia precedent ya Zitto kama case study ya hawa Wabunge wanaosemekana hawana Chama kilichowadhamini, ukweli ni kuwa kesi ya Mhe Zitto Zuber Kabwe ilikuwa mahakamani na ndio maana kulitokea hiyo injuction. Je hawa wamefungua kesi mahakamani?
Sheria hizi zilitungwa na Bunge, je kama mliotunga sheria mnashindwa kuziheshimu vipi kwa ambao si washiriki wa kutunga hizo sheria. Ninadhani ni muda mwafaka kujitokeza hadharani watu wa Tume ili kuweka uhalali wa hawa watu kuendelea kuitwa Wabunge. Kinyume na hapo Wabunge wako wataendelea kudhalilishana kuitana majina ya hovyo. Lakini hata sisi walipa kodi tunataka kujua kama kodi zetu zinawalipa Wabunge halali au Wabunge wa kutengenezwa.
Ahasante.
Nduuuu geiWABUNGE WALIOJIPELEKA BUNGENI NANI ANAWALIPA?