mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hawa wachambuzi uchwara wa soka wa bongo wanakera sana! Wanaongozwa na unazi/ushabiki badala ya weledi wa soka. Mtu hujawahi kucheza soka kabisa hata ngazi ya daraja la tatu utawezaje kuchambua soka!! Ni Tembele tu ambaye akichambua soka unaona **** weledi ndani yake!! Mliobaki oneni AIBU kujiita wachambuzi wa soka!!