mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
- Thread starter
- #21
Haihitaji kwenda shule kujua kuwa ambaye hajawahi kuucheza mpira kwa kiwango cha juu hawezi kuwa mchambuzi wa mpira kwa kiwango cha juu.Kama we si mchambuzi ulijuaje kuwa hawajui?