Hawa wachambuzi wa soka uchwara wa bongo: Waliishia kucheza mchangani, wanaongozwa na unazi badala ya weledi. Ni Ali Mayai Tembele tu anayestahili.

Hawa wachambuzi wa soka uchwara wa bongo: Waliishia kucheza mchangani, wanaongozwa na unazi badala ya weledi. Ni Ali Mayai Tembele tu anayestahili.

Kama we si mchambuzi ulijuaje kuwa hawajui?
Haihitaji kwenda shule kujua kuwa ambaye hajawahi kuucheza mpira kwa kiwango cha juu hawezi kuwa mchambuzi wa mpira kwa kiwango cha juu.
 
Back
Top Bottom