mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mimi sichambui soka!!Wa kwanza ww
Amri kiemba mbona hujamtaja
Ni shabiki wa kiembe samaki fc au Simba Sc?Mpuuzi sana huyu jamaa pia.
Anazungumzaga kishabiki sana wakati fulani hata mahali panapohitaji mtu kuongea kiweledi.Hayuko smart na huwa yuko unprofessional sana wakati mwingine
Kama Amri Kiemba hajui basi wewe una matatizo yako binafsiMpuuzi sana huyu jamaa pia.
Anazungumzaga kishabiki sana wakati fulani hata mahali panapohitaji mtu kuongea kiweledi.Hayuko smart na huwa yuko unprofessional sana wakati mwingine
Kama kiemba hajui basi hamna anayejua uchambuzi.... mayai yuko neutral ila udhaifu wake ni upande wa technicality ya mpira hawezi kuelezea vizuri, anaongea mengi ila mengi hayana mantiki... kiemba anaujua mpira na kuuelezea, na sehemu ya kiweka wazi anaweka bila kujali ataumiza watu au laa... wachambuzi pekee walio vizuri kwangu mimi ni ali kamwe, kiemba na mayai...Mpuuzi sana huyu jamaa pia.
Anazungumzaga kishabiki sana wakati fulani hata mahali panapohitaji mtu kuongea kiweledi.Hayuko smart na huwa yuko unprofessional sana wakati mwingine
Mimi sichambui soka!!
Hajaacha kuvuta bangi.Mpuuzi sana huyu jamaa pia.