Hawa wachawi / walozi waliorejea nchini kutoka sauzi iwe mwiko kushirikishwa shughuli za misikitini na makanisani

Ile ilikuwa 'mind game' tu, ya kuwaingiza hofu Orlando, japo haikufanikiwa.

Hakuna ulozi wowote uliofanyika.
 
Yaani ushidwe kujipanga kushinda uwanjani uje na mind game za kitoto ndo ushinde?acheni kutufanya wajinga kama nyie.
We jamaa ni kiaz kweli ,we unaona ile game wale maharamia walikua wanatoboa km mugalu asingefanya ujinga!!

Wewe ndie una wivu na chuki juu ya simba
Una kiroho fulani kinakupwita Hadi sio poa .

Watu wameshinda kwa mbinde Tena tukiwa pungufu mbaya zaidi tukiwa ugenini na tumetokewa kwa matuta lakin umekomaa balaa.

Shida yenu mlijua Simba anaenda kuoga mvua ya magoli ila mlichokiona hamkuamini.

Hadi mgalu anapata red card niliona wanautopolo walivyolipuka kwa shangwe maana wengi kijasho kilianza kuwatoka.

Ifike wakat muwe mnakubal mziki wa jiran hao unaowasifia mpka saiz hawaamin walipitaje pitaje kwenye kizingiti ambacho aliweka mnyama
 
Wangeshinda wangekuja kututambia hapa kuwa uchawi wao umewatoa
 
Hamna mziki pale nyie mlishajulikana ni wakufungwa tu ilikuwa ni Suala la mda.. niliwaua mazima na mkanipa hela in betting..
Ety mnafanya red kadi Justification kwenu wakati mlishazidiwa ndo maana mkapata hyo red kadi.. Timu yoyote inayopata red card hzo ni presha za mchezo
 
We jamaa ni kiaz kweli ,we unaona ile game wale maharamia walikua wanatoboa km mugalu asingefanya ujinga!!

Wewe ndie una wivu na chuki juu ya simba
Una kiroho fulani kinakupwita Hadi sio poa .

Watu wameshinda kwa mbinde Tena tukiwa pungufu mbaya zaidi tukiwa ugenini na tumetokewa kwa matuta lakin umekomaa balaa.

Shida yenu mlijua Simba anaenda kuoga mvua ya magoli ila mlichokiona hamkuamini.

Hadi mgalu anapata red card niliona wanautopolo walivyolipuka kwa shangwe maana wengi kijasho kilianza kuwatoka.

Ifike wakat muwe mnakubal mziki wa jiran hao unaowasifia mpka saiz hawaamin walipitaje pitaje kwenye kizingiti ambacho aliweka mnyama
Unakwenda kuweka mabeki 8 na bado umetobolewa tundu alafu unajisifu umetolewa kiume!!! Ungekuwa na timu bora usingepanga mabeki 8 ulichokwenda kufanya kule ni kupunguza idadi ya magoli kwa kuzuia tu dk 90 zote, kwaiyo mugalu ndo angekwenda kuzuia goli la orlando lisiingie?
 
Toka juzi unapost Mada hizihizi za Simba na Uchawi bado hujafanikiwa?
Kama asilimia 95% ya Watanzania wakiwemo Mashekhe, Wachungaji na Waumini wa hizo Dini zao Wanaamini Ushirikina huku mbele ya Kamera kujifanya kuukemea unadhani hapa JF Kuna atakayekuelewa?

Hawa unaowaona wanakemea Hapa jua ni Washabiki wa Yanga wanakemea Ushirikina kwasababu tu kafanya Simba na sio kwamba kwasababu ni Mbaya! Siku lakini Wote hao hakuna aliyewahi kumpinga Mzee Mpili ambaye ndiye Kiongozi wa Washirikina wa Yanga kwa Sasa.
 
Hakuna walichofanya, ni kucheza na akili za binadamu wenzao...
 
... Ungekuwa na timu bora usingepanga mabeki 8 ulichokwenda kufanya kule ni kupunguza idadi ya magoli kwa kuzuia tu dk 90 zote, kwaiyo mugalu ndo angekwenda kuzuia goli la orlando lisiingie?
Utopolo muwe na akili walau hata za kuvukia barabara. Yaani mnataka hata kikosi cha Simba mpange wenyewe?
 
Huyu jamaa wa Orlando Pirates alienda kunyunyizia kitu gani pale katikati? Naona kama tukio lake halijadiliwi kabisa

1651053437304.png
 
Tuwekee video tuone kukinyunyizwa kitu. Hiyo picha haioneshi kwa ufasaha kama kuna kitu kinanyunyizwa
Hakunyunyiza aisee
Jamaa alikuwa anataka kutoa ule uchafu halafu mwingine akawa anamuambia asiguse hyo
 
Back
Top Bottom