ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Alienda kumwagia maji pale simba walipofanyia ushirikina ili kuondoa nguvu za kishetani
Huyu jamaa wa Orlando Pirates alienda kunyunyizia kitu gani pale katikati? Naona kama tukio lake halijadiliwi kabisa
View attachment 2202211