Wewe ni mbumbumbu hasa, nani awapangie kikosi nyie, Kikosi chenu mlichopanga ndo icho cha mabeki 8 ili kupunguza dhoruba Kali la magoli, na bado mkashindiliwa, Mbinu ya timu isiyojiweza ni kupaki basi na bado akuna mlichofanikiwa unakuja kujitapa ujinga apa eti mugalu alituangusha tungeshinda labda mngeshinda njaa, Mmepelekewa moto kuanzia dk ya kwanza orlando kupata goli lilikuwa ni suala la muda tu, uyo mugalu alipiga mashuti mangapi yaliyolenga lango? Na timu yenu ilifika Mara ngapi kwenye goli la orlando? We unafikiri ushindi ungekuja tu kwa staili ile mliyokuwa mnacheza, Nyie jiandaeni kucheza na pamba uko acheni ujinga ujinga