Hawa wachina wanaharibu uchumi wa Nchi yetu

Hawa wachina wanaharibu uchumi wa Nchi yetu

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2019
Posts
8,685
Reaction score
12,000
Siku hizi ni kama fashion kijana akipata milion 20 anakimbilia China anaenda kuzoa uchafu huko analeta Tanzania
80% ya bidhaa za viwandani zinazoingia Tanzania zinatokea China

Miradi ya ujenzi wa miundo mbinu 80% wanachukua wao

Yaani kiufupi Tanzania tunapeleka mapesa Mengi China kuliko hata baadhi ya majimbo yaliyoko China

Siku hizi wachina wanawapa wafanyabiashara wazawa mabasi ili waendeshe biashara ila pesa inaenda China

Yaani kiufupi hawa mabwana sisi hatuna nao faida hata kidogo bali wamekuja kutunyonya tu

Yani sisi tunapeleka China trilion moja wao wanaleta billion miatano huu ni ubeberu na wizi wa mchana

Rais Magufuli Kwanini baadhi ya bidhaa zisipigwe marufuku kuingia nchini ili kuvipa thamani viwanda vya Ndani?

Wachina tuacheni tupumue
 
Inaleta kero mkuu

Hebu Angalia mfano mdogo kuwa sisi tunajenga uchumi wa China kuliko hata wachina wenyewe

Kijana anaenda china na million 20 Au 30 analeta mzigo wa million kumi na tano l,hizo milion 15 zingine anaziacha China

Anarudi Tz anakaa miezi mitatu anaenda tena na million 30

Yaani hakuna anachofanya zaidi ya kupeleka pesa na kuziacha kule,huku ni kuharibu uchumi wa nyumbani

Biashara ya China and Tanzania haina usawa wanavuna mapesa mengi mno Hawa Jamaa kutoka kwetu
Nafikiri kuna mambo hatujajitosheleza, kama wakizuia jumla bila kuwa na mbadala mfumo mzima utaharibika.
 
Trump yupo hoi na Wachina itakuwa wewe?

Kuna watu walimwambia Marehemu Mzee Nyerere siku nyingi sana, usiwakaribishe hawa, hakuwaelewa akawaona wabaya.

Tukubali tu kubebana na marafiki tulioletewa na "mtakatifu" tusije kuwa "fadhila ya punda mateke".
 
Mkuu hawa wachina wanatunyonya sana

Inatia hasira Kwasababu ukiangalia pesa ya walipa kodi wa Tanzania, nyingi inaenda kule wametukaba kabali kila kona hatupumui
Kandarasi za serkali wanadaka wao
Madukani kila uchafu ni kutoka China

Sitakosea kama nikisema hawa jamaa ni majambazi yanatuibia kwa kalamu

Serkali ingeachana na haya mambo yakusema sijui China na Tanzania ni marafiki hamna kitu wanatuibia tu

Yana akili mno haya mabwana hayana haraka lkn yanatumia kila mbinu kutunyonya
Trump mwemyewe hoi na Wachina itakuwa wewe?

Kuna watu walimwambia Marehemu Mzee Nyerere siku nyingi sana, usiwakaribishe hawa, hakuwaelewa akawaona wabaya.

Tukubali tu kubebana na marafiki tulioletewa na "mtakatifu" tusije kuwa "fadhila ya punda mateke".
 
Serkali iwe makini na hawa wachina kwa kweli
Watatumaliza,pesa nyingi sana inakwenda china kila mwezi,sisi tunabaki na makopo yao yasiyo na faida kwa Nchi yetu
Alauliwe Nani?
 
Usiwalaumu wachina... Walaumu watanzania kwa kuwasomesha watu wao na kushindwa kuwa wawezesha kiuchumi ili nao wakidhi mahitaji ya soko!

Walaumu watanzania wenzetu (hasa huko serikalini) kwa kushindwa kuweka utaratibu mzuri wa kufanya inventory ya watu wetu wenye ujuzi na maarifa ya kutengeneza/kuzalisha vitu kadhaa wa kadhaa ambavyo ni sehemu kubwa ya mahitaji ya maisha yetu ya kila siku.

Hivi why take or loan people to go to school if you don't appreciate whatever knowledge, experience and skills they attain afterwards...??

Nchi inajengwa na wanchi wake!

Tukumbuke kuwa hata hao wanaoitwa wachina wanafanya kazi kama nyuki, mchwa na panya ili tu kuijenga nchi yao...!!
 
Trump yupo hoi na Wachina itakuwa wewe?

Kuna watu walimwambia Marehemu Mzee Nyerere siku nyingi sana, usiwakaribishe hawa, hakuwaelewa akawaona wabaya.

Tukubali tu kubebana na marafiki tulioletewa na "mtakatifu" tusije kuwa "fadhila ya punda mateke".

Bora ‘mtakatifu’ kuliko yule ustaadhi aliyekua anaendesha nchi kwa ushauri wa mke wake,hata hivyo naona mliamua kumnyoosha ustaadhi huyo siku 1 pale msikitini kwa kumlamba kofi 1 matata sana.
 
Serkali iwe makini na hawa wachina kwa kweli
Watatumaliza,pesa nyingi sana inakwenda china kila mwezi,sisi tunabaki na makopo yao yasiyo na faida kwa Nchi yetu

Bongo kuna viwanda gani?

Tuna mali ghafi wkt hatuna machines,unarudi palepale tu utaenda kununua machine kwa wachina ,experts/technicians wa hizo machine ni wao.

Labda kama unaongelea viwanda 4 ni kiwanda tayari.

Marekani mwenyewe ana wakubali wachina,kwny balance of payment(deficit) ije kua sisi .
 
Mkuu wachina sio watu wazuri wanafanya uhuni mwingi sana kwenye hili suala la biashara huria wanatuibia sana

Ndio nasema serkali ingepiga kufuli kwa vitu feki kutoka China,ili bidhaa zinazozalishwa Ndani ziweze kwenda sokoni

Sasa mtu unapata hasira ati hadi kikombe cha plastic kinasafiri kutoka China kuja kuuzwa Tanzania kwa alfu moja unaweza kuona tusivyo wabunifu

Pia serkali ingeweka kipaumbele kwenye biashara ya kimataifa ni bidhaa gani Au malighafi gani ipewe kipaumbele na muundo msingi

Kwa Mfano tungechagua mazao hata big five
Mfano
Korosho,mkonge,pamba kahawa nk
Tuwekeze Nguvu haswa kwa kuwarahishia wakulima na kuwapa ruzuku ili tuzalishe kwa wingi kwa ajili ya export na lazima china na india wangekua wateja wakuu kwakuwa wao wanafaidika moja kwa moja na sisi

Pia zao km la mahindi lingepewa kipaumbele kwani Tanzania imezungukwa na Nchi ambazo hazizalishi sana mahindi na zina uhitaji wa mahindi sana

Tungekuwa tunaingiza pesa nyingi ya kigeni hata tungepunguza kukopa kwa mabeberu ambao wanavikwazo chungu nzima
Usiwalaumu wachina... Walaumu watanzania kwa kuwasomesha watu wao na kushindwa kuwa wawezesha kiuchumi ili nao wakidhi mahitaji ya soko!
Walaumu watanzania wenzetu (hasa huko serikalini) kwa kushindwa kuweka utaratibu mzuri wa kufanya inventory ya watu wetu wenye ujuzi na maarifa ya kutengeneza/kuzalisha vitu kadhaa wa kadhaa ambavyo ni sehemu kubwa ya mahitaji ya maisha yetu ya kila siku...
Hivi why take or loan people to go to school if you don't appreciate whatever knowledge, experience and skills they attain afterwards...??
Nchi inajengwa na wanchi wake!!
Tukumbuke kuwa hata hao wanaoitwa wachina wanafanya kazi kama nyuki, mchwa na panya ili tu kuijenga nchi yao...!!
 
Bora ‘mtakatifu’ kuliko yule ustaadhi aliyekua anaendesha nchi kwa ushauri wa mke wake,hata hivyo naona mliamua kumnyoosha ustaadhi huyo siku 1 pale msikitini kwa kumlamba kofi 1 matata sana.

Ohoo kwani huyo "ustaadh" aliwekwa na nani?

Msikilize Mwinyi anasema alipoingia madarakani alikuta nini hazina...

Bongo kuna viwanda gani?

Tuna mali ghafi wkt hatuna machines,

Ndio Mkuu nimeshauri km bado hatuna uzalishaji wa processed goods basi tujikite katika uwekezaji wa kuzalisha mali ghafi kwa wingi kwa ajili ya export

Kwani ukiangalia ile korosho haijapewa tu kipaumbele ile ingepata usimamizi imara wananchi wakawezeshwa kwa pembe jeo tungevuna mara mia ya sasa Kwasababu Ukiondoa mikoa ya kusini kuna mikoa mingi tu inayozalisha korosho kutokana na Ardhi nzuri

Pia tungetafuta big five au three ya mazao kipaumbele kwa ajili ya kutengeneza fedha za kigeni wakati serkali inaendelea kujiimarisha kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda
 
Kanisome tena ulichonijibu mwanzo mpaka mwisho. Unaonesha hayajakuingia sawa sawa.

Wewe kila mmoja atakunyonya tu kwani huna ulijualo.

Mzungu unamwita beberu, unajuwa maana yake? Beberu huwa linapanda tu. Sasa kupandwa hutaki kunyonywa hutaki. Na kupanda huwezi, kunyonya huwezi.

Unalalamika nini sasa? Tulia tu upandwe na mabeberu unyonywe na mchina.

Enjoy it while it lasts.
 
Mkuu wachina sio watu wazuri wanafanya uhuni mwingi sana kwenye hili suala la biashara huria wanatuibia sana

Ndio nasema serkali ingepiga kufuli kwa vitu feki kutoka China,ili bidhaa zinazozalishwa Ndani ziweze kwenda sokoni

Sasa mtu unapata hasira ati hadi kikombe cha plastic kinasafiri kutoka China kuja kuuzwa Tanzania kwa alfu moja unaweza kuona tusivyo wabunifu

Pia serkali ingeweka kipaumbele kwenye biashara ya kimataifa ni bidhaa gani Au malighafi gani ipewe kipaumbele na muundo msingi

Kwa Mfano tungechagua mazao hata big five
Mfano
Korosho,mkonge,pamba kahawa nk
Tuwekeze Nguvu haswa kwa kuwarahishia wakulima na kuwapa ruzuku ili tuzalishe kwa wingi kwa ajili ya export na lazima china na india wangekua wateja wakuu kwakuwa wao wanafaidika moja kwa moja na sisi

Pia zao km la mahindi lingepewa kipaumbele kwani Tanzania imezungukwa na Nchi ambazo hazizalishi sana mahindi na zina uhitaji wa mahindi sana

Tungekuwa tunaingiza pesa nyingi ya kigeni hata tungepunguza kukopa kwa mabeberu ambao wanavikwazo chungu nzima

Unaporipoti kuibiwa lazima na wewe pia tukulaumu kwa kumjengea au kumshawishi mwizi ili akuibie...
Wachina tumewashawishi sisi kwa kujidharau na kushindwa kuwathamini watu wetu...
When you talk of multi-dollar projects like constructions - je sisi hawa hatuna ma-injinia??
Ukifuatilia utagungua kuwa tatizo ni mtaji... Je hao wachina unafikiri wanao huo mtaji?? Asilimia kubwa nchi yao imewajengea uwezo! Nchi imewathamini na kuwadhamini ili waweze kukopesheka kuweze kukidhi mahitaji ya kupata mitaji mikubwa mikubwa (in return it is all about job creation skills to grow the local economy).

Why have colleges and universities if we don't know how to use the end products for the best interests of our country??
 
Kwa mazungumzo haya ndio maana alilambishwa kibao.
Si kweli, haya kaongea juzi.

Kibao alilambwa diamond jubilee siyo msikitini kama ulivyozua mwanzo huko, zamani alipotaka kuhalalisha condom wakati hata papa wa vatikano anazipinga.

Wachina ndiyo mada, walikaribishwa na nani? Naona inauma lakini ndiyo inabidi ustahamili ikuingie kidogo kidogo. Stahamili tu.
 
Inaleta kero mkuu

Hebu Angalia mfano mdogo kuwa sisi tunajenga uchumi wa China kuliko hata wachina wenyewe

Kijana anaenda china na million 20 Au 30 analeta mzigo wa million kumi na tano l,hizo milion 15 zingine anaziacha China

Anarudi Tz anakaa miezi mitatu anaenda tena na million 30

Yaani hakuna anachofanya zaidi ya kupeleka pesa na kuziacha kule,huku ni kuharibu uchumi wa nyumbani

Biashara ya China and Tanzania haina usawa wanavuna mapesa mengi mno Hawa Jamaa kutoka kwetu
Nakuelewa sana... kuiondoa hali hii tunakaiwa tuwe na viwanda vidogo vidogo vingi ila kabla ya hapo lazima tuwe na umeme wa kutosha, kitu ambacho kinafanyika sasa.
 
Back
Top Bottom