Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Siku hizi ni kama fashion kijana akipata milion 20 anakimbilia China anaenda kuzoa uchafu huko analeta Tanzania
80% ya bidhaa za viwandani zinazoingia Tanzania zinatokea China
Miradi ya ujenzi wa miundo mbinu 80% wanachukua wao
Yaani kiufupi Tanzania tunapeleka mapesa Mengi China kuliko hata baadhi ya majimbo yaliyoko China
Siku hizi wachina wanawapa wafanyabiashara wazawa mabasi ili waendeshe biashara ila pesa inaenda China
Yaani kiufupi hawa mabwana sisi hatuna nao faida hata kidogo bali wamekuja kutunyonya tu
Yani sisi tunapeleka China trilion moja wao wanaleta billion miatano huu ni ubeberu na wizi wa mchana
Rais Magufuli Kwanini baadhi ya bidhaa zisipigwe marufuku kuingia nchini ili kuvipa thamani viwanda vya Ndani?
Wachina tuacheni tupumue