wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ndio Mkuu nimeshauri km bado hatuna uzalishaji wa processed goods basi tujikite katika uwekezaji wa kuzalisha mali ghafi kwa wingi kwa ajili ya export
Kwani ukiangalia ile korosho haijapewa tu kipaumbele ile ingepata usimamizi imara wananchi wakawezeshwa kwa pembe jeo tungevuna mara mia ya sasa Kwasababu Ukiondoa mikoa ya kusini kuna mikoa mingi tu inayozalisha korosho kutokana na Ardhi nzuri
Pia tungetafuta big five au three ya mazao kipaumbele kwa ajili ya kutengeneza fedha za kigeni wakati serkali inaendelea kujiimarisha kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya uwekezaji wa viwanda
Unajua kitu kinaitwa Competitive advantage mkuu?Au ukiona tu tuna malighafi unaona kila kitu tunaweza kuzalisha?
Dunia inakimbia sana,tatizo si tuna amini kwamba mkishakua na malighafi tu then lazima nchi iwe tajiri,sa hivi service based industries zina-boom kuliko hata hizi manufacturing based industries ila sisi tumekomaa na tunayo yaamini tu.