Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Mnatudanganya na makamera yenu.
Mtajiita A list, ila watanzania wana A list zao na watabaki nazo
Wolper, Irene, Kajala na Aunty ni kipi cha maana mlicho inspire kwa mabinti katika hili taifa zaidi ya skendo na uhuni?
A list wetu yupo jela