Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 2,404 Reaction score 5,682 Aug 21, 2026 #1 Mnatudanganya na makamera yenu. Mtajiita A list, ila watanzania wana A list zao na watabaki nazo Wolper, Irene, Kajala na Aunty ni kipi cha maana mlicho inspire kwa mabinti katika hili taifa zaidi ya skendo na uhuni? A list wetu yupo jela
Mnatudanganya na makamera yenu. Mtajiita A list, ila watanzania wana A list zao na watabaki nazo Wolper, Irene, Kajala na Aunty ni kipi cha maana mlicho inspire kwa mabinti katika hili taifa zaidi ya skendo na uhuni? A list wetu yupo jela
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 23, 2026 #2 Mambo yao waachie wenyewe... Cc: Mahondaw
Daudi1 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2013 Posts 15,767 Reaction score 26,079 Aug 23, 2026 #3 Labda umalaya tu
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,348 Reaction score 15,205 Aug 23, 2026 #4 Daudi1 said: Labda umalaya tu Click to expand... Exactly.
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 3,017 Reaction score 9,986 Aug 23, 2026 #5 Umri wao kwa Sasa Walee familia zao maana hata maigizo hawafanyi tena ni kuvaa ovyoovyo tu
ZVI ZAMIR JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 1,756 Reaction score 4,550 Aug 23, 2026 #6 Na matangazo ya kipindi yanavyorudiwa rudiwa sasa hadi kero .Mara oo (Sijui anitwa nani yule(Mimi alikiba ndo alinitoa bikira ...Nikabaki nashangaa
Na matangazo ya kipindi yanavyorudiwa rudiwa sasa hadi kero .Mara oo (Sijui anitwa nani yule(Mimi alikiba ndo alinitoa bikira ...Nikabaki nashangaa