Hawa wahindi watanitoa roho kwa presha....

Hawa wahindi watanitoa roho kwa presha....

hahaha.. Preta umejuaje kama niko huku....

Sasa mimi wamenizunguka Baniani wanapiga mafataki yao mfululizo kama nchi iko vitani...

Diwali ni sikukuu ya wahindi jamii ya Baniani inafanyika kila mwaka mwezi wa November

umesahau tulivyokuwa tunaenda Mbezi Beach nilikupitia hapo kwenu....
si Nov tu bana....kama miezi 3 nyuma niliwasikia tena.....
 
umesahau tulivyokuwa tunaenda Mbezi Beach nilikupitia hapo kwenu....
si Nov tu bana....kama miezi 3 nyuma niliwasikia tena.....

Hahaha....hiyo ilikuwa sherehe nyingine sio Diwali, hawa Wahindi hawako sawa, kama tunavyofikiria, wanatofautiana

kwa dini, na wana tamaduni tofauti sana miongoni mwao......

Lini tutaenda tena Jumba la Mbezi?
 
Kumbe ndio maana jana nimelewa kwa shida hivyo!? Dam it!
 
Hahaha....hiyo ilikuwa sherehe nyingine sio Diwali, hawa Wahindi hawako sawa, kama tunavyofikiria, wanatofautiana

kwa dini, na wana tamaduni tofauti sana miongoni mwao......

Lini tutaenda tena Jumba la Mbezi?

we siendi tena na wewe.....ukilewa unaogelea bila nguo......ya nini kutamanishana bana.......
 
heeee jamani nilisikia nikawa nawaza hivi kambi gani ipo karibu na niishipo!!
kumbe kumbe ni kina amittah..........
:A S angry:
 
Back
Top Bottom