kwani diwali ndo nini!?
eti Boflo
yaani mpaka niseme naogopa Diwali ndo uniite....?
Diwali ndio sikukuu ya Mabaniani, huwa wanapiga mafataki yao...
Mimi huku wameniletea maladu, chauro na vikorokoro vya ajabu, Muulize Elizabeth Dominic anajua sana kuhusu Diwali
umesahau tulivyokuwa tunaenda Mbezi Beach nilikupitia hapo kwenu....
si Nov tu bana....kama miezi 3 nyuma niliwasikia tena.....
Hahahahahaaa mi niko babylon yan wanayafuatua mbaya mwemweeee
Kumbe na wewe umeona hayo mafataki yao eee...
Dah yanaboa mbaya
ha ha haaaa!!! Wengine tuna presha humu...mie nilikuwa nahisi moyo unapaa aisee.
Hahaha....hiyo ilikuwa sherehe nyingine sio Diwali, hawa Wahindi hawako sawa, kama tunavyofikiria, wanatofautiana
kwa dini, na wana tamaduni tofauti sana miongoni mwao......
Lini tutaenda tena Jumba la Mbezi?
Halafu hawakutoa taarifa kabisa
duh poleni.... sie tuonaishi uswazi wala hatuna shida!!!!!