Hawa waimbaji wa injili mbona wana mapozi tata sana?


KAMA MUNGU ANAANGALIA MIOYO BASI VAENI VIMINI MKIAMINI MNAMTUMIKIA MUNGU KAMA MFANYAVYO SASA MAADILI YAKO WAPI HAPO UOKOVU NDIYO UKO HIVYO???
 
Lips shedo,nyusi katinda na lamba lipsi huyu jamaa kuna namna sio bure!
 
Wanarembua hao!!! Paul Clement yaani jicho limelegeaaaaa!! Sijui ndio mapozi!!

Bongoflavour ktk gospel.
 
Yap...St. James Shangilieni....
 
Mimi niliamua kubadili upepo na kuwa fan wa south africa.
Joyous celebration, spirit of praise na baadhi ya waimbaji binafsi wa huko
 
Hahaha
We jamaa mkongwe una wafaham holy cross chair
Walinishika sana, walikuwa wana wimbo wao unaitwa siyakudumisa,
Mwingine my fav Ngena nathi
Hahaha zamaniii sanaaa.
 
Hahaha
We jamaa mkongwe una wafaham holy cross chair
Walinishika sana, walikuwa wana wimbo wao unaitwa siyakudumisa,
Mwingine my fav Ngena nathi
Hahaha zamaniii sanaaa.
Hahaha mkuu nimekulia kwenye familia moja hivi acha tu mshua alikuwa na interests kibao anapenda Gospel ,country songs ,anasikiliza Reggae anapenda sana wanyama na pia alikuwa anapenda Movies
Missing in action ya chuck noris naangalia na mshua niko na miaka mitano sijui
Hivyo kwa kweli nashukuru nilikuwa exposed kwenye vitu vingi katika umri mdogo

Holly Chross Choir nilipenda ile nyimbo ya Lizwi kwa sababu ya yule dada ,anaimba kwa pozi fulani hivi basi nikawa namuita mchumba si unajua mambo ya utoto tena
 
Goodluck ni producer wa bongo fleva kwa hiyo msishangae
 
Yeah mkuu...na St. Theresa, wale ni waimbaji bana.

Yupo fundi mmoja wa music anaitwa Mkude wa RC.
Jamaa anacharaza kinanda Balaa....

Kwaya anayoiongoza ina waimbaji kama 80 ...Kwaya Kuu ya St. Cecilia...Wanaimba sana wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…