Hapana hata mkuu...I'm in late 20'' ila tu nlikuwa nawasikiliza tokea nikiwa mdg.Mmh binamu basi umri wako c haba, unakimbizana na jide itakua, aaaah
Yap maana ht kuna siku nilisikia pia ule wimbo wa moyo mashine wa Ben pol alitunga yeye.Goodluck ni producer wa bongo fleva kwa hiyo msishangae
Mtafute na Vick yohe yupo vizurimm gospel zang zlizopo kwa flash yang ni zile za wasabato hasa hawa wa rwanda ambassadors, christina shusho, neema mwaipopo, martha mwaipaja, kidogo na bahati bukuku... zaid ya hapo gospel zingine ni kutoka mambele huko mfano mwanadada ana ADA wimbo unaitwa I TESTIFY... kama kuna wengine unawajua wa kufanana na hao nipe majina nianze kuwafwatilia...
usinitajie rose muhando plz
Upo Coco Beach unauliza baharini wapi?Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao yaani wanarembuaa mpaka wanapitiliza.
Wasanii wenyewe ni Gosbert wa 'ipo siku' na Paul Clement wa 'amenifanyia amani'. Yaani mapoz yao siyaelewi kwakweli ila nyimbo zao zinanibariki sana.
Usikariri mambo,,,,kuna gospel nyingi tu mfano zambia wengi wao lazma wakate uno,, mimi nadhan ni tamaduni za sehemu tofautHao ni wafanya biashara kama biashara zingine na mbinu za biashara ni zilezile hakuna dini hapo intafutwa fedha tu na si kingine achana na hao angalie Rose mhando anavyozungusha kiuno kama mwimbaji wa kofi olomide na wengieneo wote ni watafutaji dini hairuhusu kucheza miuno kwani kwa kufanya hivyo unawashawishi watu wazini na wakutamani kwa ngono wakati siyo lengo la nyimbo za injili, wengi wao kwa kutoelewa wasema mfalme Daudi alicheza mpaka nguo zikamvuka lakini pia nawakumbusha mfalme Daudi huyo huyo alichukua mke wa mtu je nalo ni sawa??????? na sisi tuingie mitaani kwa wake wa wenzetu ? Biblia kuna mafunzo na kuna historia sasa uelewa ni tatizo
Naomba Mungu mwanangu ayachukue mafunzo yote haya ninayo mfundisha kama mama yangu alivyo nifunza.Nakuelewa sanaa. Sijui kama vijana / watoto wa leo wanapata malezi kiasi gani ya kuwaivisha kiroho kiasi hiki na kuwaacha na kiu ya kutamani injili ya nyimbo pindi waachanapo na wazazi wao kama tulivyokuwa sisi. Inasikitisha sana. Nathubutu kusema tulilelewa. Mungu awabariki sana wazazi wetu. Dunia ya leo kama hukuivishwa lazima upotee tu. Hakuna namna.
Asante mkuu. Sikujua unaweza kufanya hivi.Zibadilishe ziweke kwenye CD format...
kweli tupu AIC shinyanga na kijitonyama wapo vizuri pia!Kuna AIC shinyanga na KKKT kijitonyama wanaimba rohoni pia.
wazo zuri fanyeni hivyo watumishi wa Mungu!Mkuu,kama vipi tuanzishe uzi ambao utabeba old school zote!toka lulu,barabara 13,j sisters,et al!
Nishauanzisha Tayari!wazo zuri fanyeni hivyo watumishi wa Mungu!
asante nakuja hukoNishauanzisha Tayari!
jukwaa gani?Nishauanzisha Tayari!
la Celebrity!jukwaa gani?
Thanksla Celebrity!
Ahahaha,wewe bibi wewe,dah!Shikamoo...bibi!Upo Coco Beach unauliza baharini wapi?
Kwani siku hizi watu hawawezi kusikiliza huku wakipika?Hapa umenikumbusha mama, halfu enzi hizo tuna kaseti bhana, anasikiliza huku ana pika hahaha!!
Lakini hawa waimbaj wa siku hizi wana tutania aki ya Mungu
Watumishi tena? Humu kwa wapenda ubuyu aka shilawadu hii tumegusia tu, aaahwazo zuri fanyeni hivyo watumishi wa Mungu!