Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hapana hata mkuu...I'm in late 20'' ila tu nlikuwa nawasikiliza tokea nikiwa mdg.Mmh binamu basi umri wako c haba, unakimbizana na jide itakua, aaaah
Album ya shangilieni ndio kwaya yangu ya kwanza ya video cassete kuwatch.
Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app