Hawa waimbaji wa injili mbona wana mapozi tata sana?

Kuna Mwingine anaitwa Harris Kapinga, nadhani naye ni mdau wa Gospo, na yule SAM MAHELA, pia .
d6CGPGBl.jpeg
ynpFcMET_400x400.png
 
Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao yaani wanarembuaa mpaka wanapitiliza.

Wasanii wenyewe ni Gosbert wa 'ipo siku' na Paul Clement wa 'amenifanyia amani'. Yaani mapoz yao siyaelewi kwakweli ila nyimbo zao zinanibariki sana.
Hao ni wafanya biashara kama biashara zingine na mbinu za biashara ni zilezile hakuna dini hapo intafutwa fedha tu na si kingine achana na hao angalie Rose mhando anavyozungusha kiuno kama mwimbaji wa kofi olomide na wengieneo wote ni watafutaji dini hairuhusu kucheza miuno kwani kwa kufanya hivyo unawashawishi watu wazini na wakutamani kwa ngono wakati siyo lengo la nyimbo za injili, wengi wao kwa kutoelewa wasema mfalme Daudi alicheza mpaka nguo zikamvuka lakini pia nawakumbusha mfalme Daudi huyo huyo alichukua mke wa mtu je nalo ni sawa??????? na sisi tuingie mitaani kwa wake wa wenzetu ? Biblia kuna mafunzo na kuna historia sasa uelewa ni tatizo
 
Hivi kuna mziki unamtoa haraka mtu kimaisha kama gospel? ???

Sasa ni mpaka ujishaue ujishebedue, halafu mbaya zaidi wewe ni mwanaune dah??? Hii dunia hii.
 
Huyo Gozbert naufahamu wimbo wake mmoja tuu, ila naamini kama huyo Paul naye anafanana naye basi hao jamaa ni material ya bongo fleva kabisa. Wanatembea kwenye level za Jux hivi sema wamesoma soko la muziki wa injili litawalipa zaidi.
Gozbert na Jux Sawa Ila Paul Clement ni level nyingine! Jaribu kuhudhuria akiperfoam live! The guy is much much talented!!
 
Wivu wa kike huu.

Paul Clement ni producer wa mda mrefu hata kabla Jux hajajua kama kuna mziki, 2007 ndiye aliyemuandali John Lissu albam ya Yu hai Jehova!

Pia ni muandaaji wa nyimbo za Christina Shushu ,Kilahilo etc!

Mungu wa Israel anaangilia Moyo na si kama wewe mtu wa dini ufanyavyo!

Pole sana,Ukiokoka utajua mambo ya Uungu!
 
Nyimbo zao hasa za Gozbeti hazimtaji Mungu wa mrengo flani, kiasi kwamba huwa naona zinachezwa hata kwenye vipindi vingine vya miziki ya kidunia.
 
Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao yaani wanarembuaa mpaka wanapitiliza.

Wasanii wenyewe ni Gosbert wa 'ipo siku' na Paul Clement wa 'amenifanyia amani'. Yaani mapoz yao siyaelewi kwakweli ila nyimbo zao zinanibariki sana.
 
Gozbert na Jux Sawa Ila Paul Clement ni level nyingine! Jaribu kuhudhuria akiperfoam live! The guy is much much talented!!
Huyo clement naye nimemshtukia, kuna shda hapo, any way these guys are in gospel for biznez kwa hiyo nadhan waendelee tuu wapate pesa
 
Nyimbo zao hasa za Gozbeti hazimtaji Mungu wa mrengo flani, kiasi kwamba huwa naona zinachezwa hata kwenye vipindi vingine vya miziki ya kidunia.
Hahaha
Yaani yule dogo ni bongo fleva pure, kuna siku hadi kipindi cha XXL walipiga wimbo wake. Wacha wale hela za gospo
 
Hahaha...why not Rose Muhando?

Mimi katika nyimbo za Gospel zinazonibariki ni

Kwanza kwaya karibu zote za zamani. Hasahasa miaka ya 90-99 kama za Arusha mjini na Shangilieni. daaah

Pili, nyimbo za baadhi ya waimbaji wachache sana kama Christina Shusho, Abihudi Misholi, Ephraim Mwansasu na Bahati bukuku.

Lastly, ni nyimbo zote za kuabudu.
Kuna wale jamaa wa Kijitonyama KKKT wakiongozwa na Joshua

Shangilieni enzi hizo kina Beatrice Mhone ni kisichana
Na nyimbo kama habri ya mwana mpotevu ....

Kuna mama jusi wa Moshi ..,.

Shusho kwa wasanii solo
Mwisho kabisa ni kwa Wazulu wa kwa Madiba wale watu wanaimba , kina Holly Cross Choir na nyimbo zao kama Lizwi ....
 
Wivu wa kike huu.

Paul Clement ni producer wa mda mrefu hata kabla Jux hajajua kama kuna mziki, 2007 ndiye aliyemuandali John Lissu albam ya Yu hai Jehova!

Pia ni muandaaji wa nyimbo za Christina Shushu ,Kilahilo etc!

Mungu wa Israel anaangilia Moyo na si kama wewe mtu wa dini ufanyavyo!

Pole sana,Ukiokoka utajua mambo ya Uungu!
We kweli umeokoka?
 
Aaaah! Mbwembwe hizi! Ukiona mtoto wa kiume anakuwa hivi ujue kabakia na nguvu za kufunga kamba za viatu zile nguvu za upande wa pili ni shida
 
Hahaha...why not Rose Muhando?

Mimi katika nyimbo za Gospel zinazonibariki ni

Kwanza kwaya karibu zote za zamani. Hasahasa miaka ya 90-99 kama za Arusha mjini na Shangilieni. daaah

Pili, nyimbo za baadhi ya waimbaji wachache sana kama Christina Shusho, Abihudi Misholi, Ephraim Mwansasu na Bahati bukuku.

Lastly, ni nyimbo zote za kuabudu.
Shangilieni na silaha ya ushindi wash enzi hizo beatrce mhone mlokoke kweli dah
 
Back
Top Bottom