Hawa Wajeda wa Burkina Faso kiboko wamepanda balaa!

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hawa jamaa kama ndiyo wamesimama mbele yako halafu wanakwambia achia, lazima utoke baruti kama Ndugai, duh!

1643093538467.jpeg
 
Hawa jamaa kama ndiyo wamesimama mbele yako halafu wanakwambia achia, lazima utoke baruti kama Ndugai, duh!

View attachment 2094811
kimo hakidhihirishi ufanisi au nguvu. nasema hivyo kwasababu kwa Marekani kwa mfano, kuna kimo fulani hutakiwi kuzidi ili uwe mwanajeshi. watu warefu sanaa hawatakiwi, na watu wafupi sanaa. bali watu wa kawaida au wa kati. ukiwa mrefu sana hivyo ukiwa vitani ni vigumu sana kukoswa na sniper. wajuzi wanaelewa. lakini africa tunakusanya tu.
 
Watu wa kawaida au kati unamaanisha nini ? Mmarekani mwenye kimo cha kati kwa Tanzania au Japani ni giants, mtu ambaye Tanzania anaonekana mrefu kwa Marekani ni wastani au hata chini ya hapo, wale tunaowaita tall hapa kwetu akienda Ulaya wala hataonekana.
 
ulishafika marekani? unajuwa african americans, na baadhi ya Caucasians wenye asili ya urefu?....sasa angalia jeshi lote la marekani hata kwenye picha tu, uone kama wale watu warefu wa kimarekani ambao wengi wanafanana na west africans na wasudan, uone kama wapo jeshini. naongea kwasababu nimeshakuwepo kule, na baadhi ya wanajeshi wa kule ni watu wangu wa karibu hadi kesho. an extra all person yupo katiak risk kubwa sana ya kutunguliwa akiwa vitani kuliko hata andunje.
 
Hiyo miili yao mikubwa ni asili yao na iliwagharimu sana Mababu zao wakasombwa sana kwny Biashara ya Utumwa

Bila shaka hakuna Mpare wala Mzaramo aliekuwa mtumwa kwa kuwa kwanza wana vimiili vidogo vidogo na hata nguvu za kazi hakuna
 
ulishafika marekani? unajuwa african americans, na baadhi ya Caucasians wenye asili ya urefu?....sasa angalia jeshi lote la marekani hata kwenye picha tu, uone kama wale watu warefu wa kimarekani ambao wengi wanafanana na west africans na wasudan, uone kama wapo jeshini. naongea kwasababu nimeshakuwepo kule, na baadhi ya wanajeshi wa kule ni watu wangu wa karibu hadi kesho. an extra all person yupo katiak risk kubwa sana ya kutunguliwa akiwa vitani kuliko hata andunje.

Ndo maana nikasema inategemea, mfano mtu wa urefu wa kawaida wa Marekani kwa Tanzania ni giant, wastani wa kimo ni tofauti kwa kila nchi.
 
ukiongea hayo, jua kwamba still marekani wale unaofikiri wanaweza kuwa warefu kuliko watz ni sawa tu na watz, mfano latinas, na baadhi ya wazungu wenye asili ya maeneo fulani ya ulaya ukiondoa ujerumani na scandinavians. wa kawaid atu, wengine wafupi tu kama wabongo. hata hapa bongo mbona ukiend aumasaini, usukumani au Mara , Kagera, unyakyusani unakuta watu warefu tu?
 
Naongelea wastani, wastani wa kimo cha watu wa USA ni warefu kuliko Tanzania!
 
linganisha na hao wanajeshi wa afrika magharibi au rwanda. with due respect. achana na watanzania, watz tunajulikana ni wafupi kwa wastani. angalia hao wanajeshi waliopindua na linganisha na wanajeshi wa marekani, au unataka tukuwekee picha.
 
Ndio weka picha!
 
Back
Top Bottom