Dam55
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 5,641
- 11,958
Katika pita pita zangu huko Twitter na Facebook nimeona wakenya wakijitamba kuwa mshambuliaji wa Kenya Mbwana Sammata amefanikiwa kujiunga na club ya Aston villa ya EPL.
Hivi huyo Sammata kabadili lini uraia kuwa Mkenya? Kwenye matamasha mengi ya nje Diamond pia wanamtangaza Kama mkenya!
Inamaana Wakenya hawana kitu cha kujivunia kwenye nchi yao hadi wanataka kukwiba vya wenzao.
Mt Kilimanjaro wanadai ni yao.
Tanzanite wanadai wao ndio wanayo.
Licha ya kiswahili kibovu wanacho zungumza lakini bado wanajisifu kuwa wao ndio mama wa kiswahili Afrika mashariki.
Na sasa Sammata nae ni wao.
Majilani acheni uhuni hii tamaa yenu itawafikisha pabaya mwisho mtakuja kudai Arusha ni yenu tutawatwanga Kama Iddi.