Hawa wakenya wamerogwa si bure

Hawa wakenya wamerogwa si bure

Dam55

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5,641
Reaction score
11,958
Katika pita pita zangu huko Twitter na Facebook nimeona wakenya wakijitamba kuwa mshambuliaji wa Kenya Mbwana Sammata amefanikiwa kujiunga na club ya Aston villa ya EPL.

Hivi huyo Sammata kabadili lini uraia kuwa Mkenya? Kwenye matamasha mengi ya nje Diamond pia wanamtangaza Kama mkenya!

Inamaana Wakenya hawana kitu cha kujivunia kwenye nchi yao hadi wanataka kukwiba vya wenzao.

Mt Kilimanjaro wanadai ni yao.

Tanzanite wanadai wao ndio wanayo.

Licha ya kiswahili kibovu wanacho zungumza lakini bado wanajisifu kuwa wao ndio mama wa kiswahili Afrika mashariki.

Na sasa Sammata nae ni wao.

Majilani acheni uhuni hii tamaa yenu itawafikisha pabaya mwisho mtakuja kudai Arusha ni yenu tutawatwanga Kama Iddi.
 
Kwani samatta sio mkenya? Kilimanjaro ipo tz ninajua hilo
 
Kwa sisi tunaofahamu mambo hiyo inaitwa intelligent propaganda wapuuzeni hawajaanza Leo
Hapana! Msiwapuuze. Kuna faida wanapata kupitia propaganda hizi. Mtalii anayetaka kupanda mlima Kilimanjaro atakata ticket ya kwenda Kenya na atafikia kwanza Kenya. By the time anaambiwa mlima upo TZ atakuwa keshatumia forex Kenya. Hivyo hivyo kwa Shabiki wa Aston Villa mwenye mapenzi ya kuona nchi anayotoka Samata atakata ticket ya Kenya. Atalala Kenya atatumia Pesa pale kabla ya kuambiwa Samata anatokea nchi jirani ya Tz. Hizi habari ni za kukanushwa hata kwa level ya Wizara ya habari/Foreign affairs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau kupitia kujibrand kuwa kiswahili ni chakwao walimu wengi wanaoitwa marekani,uingereza,Australia,Finland, Netherlands n.k kufundisha kiswahili wanatokea Kenya... Yaani katika walimu kumi wanaofundisha kiswahili ughaibuni mmoja ni mtanzania tisa waliobaki ni wakenya
 
Huyu naye na Olduvai eti ya Kenya.
 
Nimeona watu wengi wanasema eti "tuwapuuze" yaani Sisi wabongo bado Sana Kwenye mambo ya diplomatic.
Hawa wakenya sio wajinga mpaka wanaamua kujipa kila kitu cha hapa Tanzania na Hilo la kupenda kujitangazia linawaingizia watalii wengi na wawekezaji.

Wakenya wanajua Sana kucheza na akili na Hilo wamefanikiwa Kwenye sekta ya utalii kuliko Sisi wabongo,Leo hii ukienda ujerumani kuna waalimu wa Kiswahili wengi kutoka Kenya kuliko Tanzania pia kuna nchi kama ya Canada,Spain,USA na Australia wanaamini chimbuko la Kiswahili ni kenya
 
Hapana! Msiwapuuze. Kuna faida wanapata kupitia propaganda hizi. Mtalii anayetaka kupanda mlima Kilimanjaro atakata ticket ya kwenda Kenya na atafikia kwanza Kenya. By the time anaambiwa mlima upo TZ atakuwa keshatumia forex Kenya. Hivyo hivyo kwa Shabiki wa Aston Villa mwenye mapenzi ya kuona nchi anayotoka Samata atakata ticket ya Kenya. Atalala Kenya atatumia Pesa pale kabla ya kuambiwa Samata anatokea nchi jirani ya Tz. Hizi habari ni za kukanushwa hata kwa level ya Wizara ya habari/Foreign affairs

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiwalaumu wakenya wanatushinda mbinu na maarifa.

Sisi ni mahodari wakubwabwaja, unafiki, matusi na tuu wabishi kupimdikia.

Wao wanajitajirisha kwa mali zetu na jasho letu. Kenya haina Tanzanite, hawana dhahabu, na ndio inaongoza kuuza madini hayo njee, soko la chai lipo mombasa, kahawa yetu inachakachuliwa kenya na inakuwa product za kenya.

Hawa wametuzidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkirindi,
Wametuzidi katika hila na utapeli, huo ni utapeli na hila za kijinga, Assume na sisi tushike njia hiyo hiyo ya ujanja-- ujanja na hila na wizi wa hila, hapa Afrika ya mashariki je, tutaaminiana??!!, concept yote ya kujenga "the east African integration" itakuwa tete kwani hisia za kuzidiana kwa hila zitaibuka na hivyo kuathiri mpango mzima na hatimaye kujenga chuki na uadui miongoni mwa nchi na wananchi kwa ujumla.

Tabia za Wakenya ni hatari kwa Mustakbali wa East Africa integration.
 
Mwakyembe si yupo, atangaze Sasa Samata ni wa Tanzania, Samata mwenyewe hatumthamini Kama wenzetu, mbona hatumpi promo Kama uingereza walivyokuwa wanampa promo David beckam?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usisahau kupitia kujibrand kuwa kiswahili ni chakwao walimu wengi wanaoitwa marekani, uingereza, Australia, Finland, Netherlands n.k kufundisha kiswahili wanatokea Kenya. Yaani katika walimu kumi wanaofundisha kiswahili ughaibuni mmoja ni mtanzania tisa waliobaki ni wakenya
Hivi ni kwanini iko hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona watu wengi wanasema eti "tuwapuuze" yaani Sisi wabongo bado Sana Kwenye mambo ya diplomatic.
Hawa wakenya sio wajinga mpaka wanaamua kujipa kila kitu cha hapa Tanzania na Hilo la kupenda kujitangazia linawaingizia watalii wengi na wawekezaji.

Wakenya wanajua Sana kucheza na akili na Hilo wamefanikiwa Kwenye sekta ya utalii kuliko Sisi wabongo,Leo hii ukienda ujerumani kuna waalimu wa Kiswahili wengi kutoka Kenya kuliko Tanzania pia kuna nchi kama ya Canada,Spain,USA na Australia wanaamini chimbuko la Kiswahili ni kenya
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom