Fulsa hiyo baba ya kupiga pesa, Wanawaii tenda za makampuni yao ya ujenzi.Mkutano uliitishwa na Chancellor wa Ujerumani na kuhudhuriwa na wajumbe wa NATO wote (source: StarTV habari, BBC na AlJazeera). Swali langu ni kuwa kwani vita imeisha au hii ina maana gani...
Ulaya, huu mgogoro wa nishati unaowazuga leo,hawakuwahi uona miaka ya nyuma ?... wakati wewe mchana huu unapanga bajeti ya kupata kitoweo cha jioni hii, wakubwa wanapanga bajeti za miaka 5, 10, 25, 50, hadi 100 ijayo even beyond ambazo hadi vizazi watakuja kuzitekeleza! Hiyo ndio tofauti na huwezi elewa!
Unapozungumzia nishati mbona Ulaya all options are on the table? Kama kuna vitu viko well planned Ulaya ni suala la nishati; and the energy master plan is so clear. Sio sisi huku hatujui tushike lipi tuache lipi; kila mmoja anakuja na sera yake.Ulaya, huu mgogoro wa nishati unaowazuga leo,hawakuwahi uona miaka ya nyuma ?
Ulaya hii hii wamewahi kupitia dhiki na tabu ambazo sisi bado hatujafikia ikichangiwa pia na hiyo hali yao ya hewa.Ulaya, huu mgogoro wa nishati unaowazuga leo,hawakuwahi uona miaka ya nyuma ?
Ulaya, huu mgogoro wa nishati unaowazuga leo,hawakuwahi uona miaka ya nyuma ?