Hawa Wakuu wa Wilaya waliotokea CHADEMA waangaliwe kwa jicho la 3 ni kama wanamhujumu Rais!

Hawa Wakuu wa Wilaya waliotokea CHADEMA waangaliwe kwa jicho la 3 ni kama wanamhujumu Rais!

Mkuu to be honest ni lazima nikubali lolote serikali itakavyotaka
Nimepitia jeshini na ninajua mengi na niko tayari kufa kwa ajili ya nchi hata kama sio asili yangu bali ndio iliyonilea kwa miaka karibu 40
Kwa hiyo sio mimi hata wanangu watailinda na kuisaidia hatutakaa kizembe
Lazima mtu uitetee nchi yako kwa hali na mali na sio maneno tu
Uwezo wa kufanya ninao na likitokea nitakuwa nao
Asante kiongozi

Ndio ukweli niliotata wauelewe.

Nationalism sio swala la mzaha.

Asilimia kubwa ya foreigners hizi nchi za wazungu, jamaa wakivamiwa watabeba silaha kuzilinda hizo nchi.

it’s not a joke, national security ni mchezo wa watu wenye akili.

Na nationalism propaganda sio swala la mzaha. You need serious tactics.

Mwenge tu kuna watu humu wanaona ni uchawi na raisi yupo tayari kufuta shughuli za kijeshi.

Kuna usalama wa taifa hapo au a bunch of nonsense.

You think it’s easy hawa watu walipo.
 
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
Huyo LijuaLikali apigwe chini chapu na apigwe viboko.
 
Asante kiongozi

Ndio ukweli niliotata wauelewe.

Nationalism sio swala la mzaha
Wengi hawaelewi huwa nashangaa wanapomtukana mtu mzawa ila ana asili ya sehemu nyingine utakuta hajawahi hata kufika na maisha yake hajawahi kufika
Amezaliwa bongo kasomea hapo ila akiwa mzalendo kuliko wao basi watamnanga na kumpa majina ya kila aina
Ila wao wengi ndio wa kwanza kuiharibu nchi yao
 
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
MACHAWA HAYO YAONGEZEWE CHEO TU
 
Lijualikali ni Nusu mwehu kabisa hata nashangaa wanaomvumilia kwenye hiyo nafasi. Sidhani kama CCM mkoa wa Rukwa inaunga mkono Lijualikali kuwa DC Nkasi. Tabia za uasherati na wake za watu, rushwa toka Kwa watumishi hasa Maafisa uvuvi ziwa Tanganyika, uporaji wa Ardhi kijiji cha Kakoma iliyomegwa toka pori la akiba Lwafi, kuingilia maamuzi ya wataalamu nk, yote haya CCM wanayajua na MH Rais alipozuru Rukwa mwezi Julai aliambiwa.
Acheni fit ina ulikwa wapi kuyasema mpaka leo , msaliti yoyote kwangu ni mpumbavu tu ,ila msilete unafiki, sawa katembea na wake za watu ,hao ni watoto wadogo si wamekubaliana? Upo na ushahidi

Ukiona mke anakukimbia jua nguvu za kiume huna , mnafikili mke ni pesa tu ? Mpe kazi atakua anachukua pesa huko anakuletea ila zingati kuna HIv ,hepatis vyaua balaa
 
Wengi hawaelewi huwa nashangaa wanapomtukana mtu mzawa ila ana asili ya sehemu nyingine utakuta hajawahi hata kufika na maisha yake hajawahi kufika
Amezaliwa bongo kasomea hapo ila akiwa mzalendo kuliko wao basi watamnanga na kumpa majina ya kila aina
Ila wao wengi ndio wa kwanza kuiharibu nchi yao
Kinachokera hawa watanzania na kutaka kuanza kubaguana kwa udini, sijui huyu anaongea kinywarandwa (japo mzaliwa wa Tanzania).

Sasa kama sisi waafrika wakuamia tu tuwe tayari kukilinda hiki kisiwa hao wazungu wenyewe je utawaambia nini.

Achana na ya kwetu huku.

Tunachangia mada za watanzania na kuna mapoyoyo humu yana nafasi yanatusoma.

Swala la nationalism propaganda sio la mzaha if anything events zake hazina watu sahihi wa kuzipikia nationalism propaganda.

Anyway kwangu nimetumia muda JF time off.

Hila asante kwa majibu yako ya ukweli.

Kwa mapoyoyo ya serikali hakuna m usalama wa taifa unaweza futa shughuli za kitaifa.
 
Kwa hiyo kucheka Cheka no mtu poa?
Dogo Janja ni mstaarabu sana ni mtu wa watu sio wakujikuza ukikutana nae.

Jamaa poa sana sio mtu wa kuumiza watu wanyonge, labda kuwe na infuelence nyingine nyuma yake.

Aisee chałii hana shida na mtu poa sana (but then kuna siasa, Iła siamini kama anaweza mfanyia mtu ubaya kwa utashi wake).

Nassari namkatalia hana roho mbaya ya kuumiza watu yule mtu.
 
Kinachokera hawa watanzania na kutaka kuanza kubaguana kwa udini, sijui huyu anaongea kinywarandwa (japo mzaliwa wa Tanzania).

Sasa kama sisi waafrika wakuamia tu tuwe tayari kukilinda hiki kisiwa hao wazungu wenyewe je utawaambia nini.

Achana na ya kwetu huku.

Tunachangia mada za watanzania na kuna mapoyoyo humu yana nafasi yanatusoma.

Swala la nationalism propaganda sio la mzaha if anything events zake hazina watu sahihi wa kuzipikia nationalism propaganda.

Anyway kwangu nimetumia muda JF time off.

Hila asante kwa majibu yako ya ukweli.

Kwa mapoyoyo ya serikali hakuna m usalama wa taifa unaweza futa shughuli za kitaifa.
Huwa nashangaa sana wanaposema eti kuruhusu wahamiaji kuingia serikalini watatoa siri zetu na hata usalama wetu upo hatarini
Ukiangalia sasa tupo wa ngapi kwenye vipato vya nchi duniani unashangaa
Elon Musk ni tajiri la dunia asili South Africa ila ni mmarekani wa kupewa ila wanajivunia leo kama mmarekani na anajua kila siri zao mpaka jeshi
Leo sisi hata takwimu tuna ndege ngapi za kivita hatujui na ukiuliza utaulizwa unatakia nini
Wakati silaha ndio ulinzi mkubwa wa nchi na kujitamba
Mkuu naelewa sana unachoelezea ila ndio hivyo tena
Anaejiita mzalendo ndio mwizi mkubwa
Sasa tutaondokana na umasikini kweli
Wala usijali uzalendo ni moyoni mwa mtu na mtu
Hata Sunak alipewa mpaka u waziri mkuu
Imagine Bongo Bashe awe PM
Sijui ingekuwaje
 
Kwamba tupo hapa kumtetea au kumuhujumu Rais ?

Nadhani tumekosea na kupotoka tangia mwanzo ingekuwa dhima ni kumtumikia na kuhakikisha mwananchi haujumiwi nadhani tungepunguza complications hizi zote...

Hao wao na Sisi wa huko juu (ni waswahili wa Pemba wanaojuana kwa Vilemba) Huku chini kuna Sisi Wananchi (people who counts) hao wengine ni watafuta Kura ili waende Kula....
 
Huwa nashangaa sana wanaposema eti kuruhusu wahamiaji kuingia serikalini watatoa siri zetu na hata usalama wetu upo hatarini
Ukiangalia sasa tupo wa ngapi kwenye vipato vya nchi duniani unashangaa
Elon Musk ni tajiri la dunia asili South Africa ila ni mmarekani wa kupewa ila wanajivunia leo kama mmarekani na anajua kila siri zao mpaka jeshi
Leo sisi hata takwimu tuna ndege ngapi za kivita hatujui na ukiuliza utaulizwa unatakia nini
Wakati silaha ndio ulinzi mkubwa wa nchi na kujitamba
Mkuu naelewa sana unachoelezea ila ndio hivyo tena
Anaejiita mzalendo ndio mwizi mkubwa
Sasa tutaondokana na umasikini kweli
Wala usijali uzalendo ni moyoni mwa mtu na mtu
Hata Sunak alipewa mpaka u waziri mkuu
Imagine Bongo Bashe awe PM
Sijui ingekuwaje
Sisi mbona wa mbali watanzania wenye haki zote kuna watu wanataka wabaguliwe.

Wakati wenzao wana raia wa kigeni English broken ni maafisa usalama.

Upuuzi wa seniors wao huko Tanzania utaki kuongelea (ain’t no one interested getting hurt for nothing).

The whole security thing is a joke in Tanzania (tusiende huko, tusije sema yasiyotakiwa kusemwa).
 
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
Hahaha nawewe unatoa laana, ni UWT au UVCC? Maana hso ndio huongoza kulaani kila wadiyempenda nchi hii.
 
Kuna majitu hata huko CHADEMA,ni aheri yaliondoka.

Fikiria CHADEMA ingeshinda, halafu jitu kama Lijuakali liwe waziri wa TAMISEMI, si lingesema kuwa watoto wote ambao wazazi wao ni CCM, wafukuzwe shule!!

Tunaweza tukawa tunailaumu CCM, kumbe hata ndani ya CHAS
DEMA kuna majitu kama Lijuakali bado yamo.
Hahaha wanapowachukuwa huwa inachemshwa ile bendera ya kijani mpaka inakuwa kitambaa cheupe, halafu ule mchuzi wa kijani wana wanyesha wote.

UKikutana nao wanakuwa na mawenge utadhani wametoroka wodi la vichaa, sasa hapo ndio wana kuwa wamekamilika kupata uomgozi huko ccm.

Akili huwa wanaziacha mlangoni. Muangalie Dr.Mollel hahaha, anasema pesa zote ni za mama yao nchi hii.
 
Sisi mbona wa mbali watanzania wenye haki zote kuna watu wanataka wabaguliwe.

Wakati wenzao wana raia wa kigeni English broken ni maafisa usalama.

Upuuzi wa seniors wao huko Tanzania utaki kuongelea (ain’t no one interested getting hurt for nothing).

The whole security thing is a joke in Tanzania (tusiende huko, tusije sema yasiyotakiwa kusemwa).
Kweli mkuu tuyaache maana hawachelewi
Ni kwa sababu hakuna freedom of information kama huku ambako unaweza kuuliza chochote na ukajibiwa
Ndio maana hata wanaandishi wa habari home hawawezi kuuliza maswali ya msingi
Leo kikeke wa kuuliza mchungaji anaesema Yesu akirudi atapanda gari lake?
Amejishusha au anabadilika kisa yuko na wasiojua
Sio saizi yake hao ila afanyeje sasa
Unaenda na bits za huko
 
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
Kama huyo lijualikali Hana akili hata Moja. Ye anafikiri maendeleo ya wanankasi ni kupambana.
 
Huyu sio DC ila anamhujumu nani?
IMG_20240819_200007.jpg
 
Waheshimiwa mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa chuo cha tumaini dar es salaam ( TUDARCO) niliomba mkopo sijapata na nasoma course ya sheria na mpaka saivi nafikiria kuhairisha masomo kutokana na ugumu wa maisha nilikuwa naomba unisaidie japo ada tu ya chuo au nisaidie mawazo niweze kujua na nilipata division one
 
Back
Top Bottom