Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Asante kiongoziMkuu to be honest ni lazima nikubali lolote serikali itakavyotaka
Nimepitia jeshini na ninajua mengi na niko tayari kufa kwa ajili ya nchi hata kama sio asili yangu bali ndio iliyonilea kwa miaka karibu 40
Kwa hiyo sio mimi hata wanangu watailinda na kuisaidia hatutakaa kizembe
Lazima mtu uitetee nchi yako kwa hali na mali na sio maneno tu
Uwezo wa kufanya ninao na likitokea nitakuwa nao
Ndio ukweli niliotata wauelewe.
Nationalism sio swala la mzaha.
Asilimia kubwa ya foreigners hizi nchi za wazungu, jamaa wakivamiwa watabeba silaha kuzilinda hizo nchi.
it’s not a joke, national security ni mchezo wa watu wenye akili.
Na nationalism propaganda sio swala la mzaha. You need serious tactics.
Mwenge tu kuna watu humu wanaona ni uchawi na raisi yupo tayari kufuta shughuli za kijeshi.
Kuna usalama wa taifa hapo au a bunch of nonsense.
You think it’s easy hawa watu walipo.