Kila siku anamtaja Mbowe mbona kuliko mafanikio ya mama kwa miaka 3 ?Anaihujumu nafsi yake 😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila siku anamtaja Mbowe mbona kuliko mafanikio ya mama kwa miaka 3 ?Anaihujumu nafsi yake 😄
HAKIKAKuna majitu hata huko CHADEMA,ni aheri yaliondoka.
Fikiria CHADEMA ingeshinda, halafu jitu kama Lijuakali liwe waziri wa TAMISEMI, si lingesema kuwa watoto wote ambao wazazi wao ni CCM, wafukuzwe shule!!
Tunaweza tukawa tunailaumu CCM, kumbe hata ndani ya CHAS
DEMA kuna majitu kama Lijuakali bado yamo.
Kukosa Uenyekiti wa Kanda imekuwa nongwa!Kila siku anamtaja Mbowe mbona kuliko mafanikio ya mama kwa miaka 3 ?
Walipopewa Michelangelo kibao kwa lazima wajiunge CCM ulidhani wangeziakataa.Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji
Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama
Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka
Mtanishukuru baadaye 🐼
Huyu ni bonge la Mshamba.
Bwege!!Si aliwahi kububujikwa na Kamasi mixa machozi huku akiomba huruma huko Dodoma kipindi flani?