Hawa Wakuu wa Wilaya waliotokea CHADEMA waangaliwe kwa jicho la 3 ni kama wanamhujumu Rais!

Hawa Wakuu wa Wilaya waliotokea CHADEMA waangaliwe kwa jicho la 3 ni kama wanamhujumu Rais!

Kuna majitu hata huko CHADEMA,ni aheri yaliondoka.

Fikiria CHADEMA ingeshinda, halafu jitu kama Lijuakali liwe waziri wa TAMISEMI, si lingesema kuwa watoto wote ambao wazazi wao ni CCM, wafukuzwe shule!!

Tunaweza tukawa tunailaumu CCM, kumbe hata ndani ya CHAS
DEMA kuna majitu kama Lijuakali bado yamo.
HAKIKA
 
Hadi sasa tunao Joshua Nassari, Ambrose Lijualikali na Dr Mashinji

Sisemi kwa uhakika ila ni kama wanahujumu Serikali na Chama

Unapomfukuza shule mtoto kisa baba yake ni mpinzani Wewe lazima uwe Laanatula uliyetukuka

Mtanishukuru baadaye 🐼
Walipopewa Michelangelo kibao kwa lazima wajiunge CCM ulidhani wangeziakataa.
Hivi Nassari unamwonaje kijana mdogo ushamsikia akiongea popote mtandaoni tangu apewe nafasi hiyo.
Anakula mshahara wake na mamilioni aliyopewa kununuliwa bado anaenjoy maisha.
Ni mjanja fulani anayejua kuuma akipuliza.
Sawa Lijualikali naye hivyo hivyo! Mlidhani wangekataa mlungula!! Imeenda hiyo!!
 
Back
Top Bottom