Hawa waliokuwa wamekaa nyuma ya Gwajima kwenye press yake ni kina nani!

Hawa waliokuwa wamekaa nyuma ya Gwajima kwenye press yake ni kina nani!

They aint ordinary men at all!!

Hawa ni Kamati ya Amani ya kweli siyo kama kusanyiko lile la Kamati ya Amani ya mchongo inayopokea ufadhili na maelekezo kutoka serikali ya chama dola kongwe pamoja wale wakuu wa vyombo.

TOKA MAKTABA:

Moja ya Kusanyiko la mchongo la Kamati ya Amani Tanzania

thumb_5321_800x420_0_0_auto.jpg
Imewekwa kuanzia tarehe: March 26th, 2024
Kamati ya Amani ya Mkoa ya Viongozi wa Madhehebu wakiongozwa na Mwenyekiti wake Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Ruvuma Mhashamu Raphael Haule na Katibu wa Kamati hiyo Mchungaji Elimu Mwenzegule wa Kanisa la Pentecostal Holliness Mission Songea na viongozi wa madhehebu ya CCT, BAKWATA,TEC NA CPCT wakiwa katika picha ya Pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed baada ya kufanya kikao cha Pamoja ofisini kwake lengo kubwa lilikuwa ni kumkaribisha Mkuu wa Mkoa ambaye amehamia kutokea Mkoa wa Mtwara.
 
1. Wachungaji wenzie wa kanisa lake

2. Walinzi wake

3. Wasaidizi wake

4. Ama ni washereheshaji tu.

Kwa maana facial expressions zao siyo za low level, ni za high level kama Gwajima mwenyewe, na zingine zaidi ya Gwajima kabisa!

Msisahau 99% wamepiga upara kama wa Gwajima! They aint ordinary men at all!!
View attachment 3344456


NB:Halafu kwa nini hakuna mwanamke hata mmoja among them!!
Kwa uzoefu wangu sijamtambua hata mmoja.
 
Back
Top Bottom