They aint ordinary men at all!!
Usalama tunakufatilia kwa karibu sana ww mrundi.. Very soon lazima unyee ndooMungu Ibariki Tanzania
Kwa uzoefu wangu sijamtambua hata mmoja.1. Wachungaji wenzie wa kanisa lake
2. Walinzi wake
3. Wasaidizi wake
4. Ama ni washereheshaji tu.
Kwa maana facial expressions zao siyo za low level, ni za high level kama Gwajima mwenyewe, na zingine zaidi ya Gwajima kabisa!
Msisahau 99% wamepiga upara kama wa Gwajima! They aint ordinary men at all!!
View attachment 3344456
NB:Halafu kwa nini hakuna mwanamke hata mmoja among them!!
Kama yule jamaa upande wa kulia utadhani ame smoke weed au kapiga konyagi ndogo moja.Halafu wapo siriazi sana 😂