Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Hata kwa Tshishimbi walisema hivyo hivyo na picha waka post hawa Gsm ni makanjanjaTupate tangazo kidogo wakuu. Tusipaniki sana. Yajayo yanafurahishaView attachment 1531045
Hii tarifa katoa nani mbona hamna sahii
Leo yamekua hayo?Ukweli Morrison hajaisaidia timu zaidi ya kujiona yuko juu ya club. Yanga wamepita wachezaji wazuri kuliko huyo kichaa.
Atiii wasemaMorison nikimuangalia hv naona n mchezaji asiekuwa na impact yoyote basi tu
Sasa tunasema Morrison ni mali ya simba akae bechi ama acheze ni uamuzi wetu wenye mchezajiSi mlisema mwizi wa magari ?
Si mlisemaHana uwezo wa kuchezea simba ?
Si mlisema pale hakuna wa kumuweka benchi ?
Nasuburi mtasema kipi sasa.