Hawa wametupiga palepale penye mshono. Naacha kabisa mpira huu

Hawa wametupiga palepale penye mshono. Naacha kabisa mpira huu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Morrison ndo alibaki kuwa nembo yetu Jangwani. Tuliaminishwa kuwa amesinya. Kama ambavyo tuliaminishwa Tshishimbi amesinya kumbe bado 😭😭😭😭

Inauma sana kila nikifikiria huwaga ninalia. Inauma sana unyama wanaotufanyia hawa wanyama Simba, huu si ustaraabu wangechukua hata wachezaji watano Yanga lakini siyo Morrison.

GSM mmekuwa wababaishaji sana. Tunaona ubabaishaji wenu na matokeo yake. Hii mmefanya ni uhuni kwa Yanga. Muondoke kama hamwezi. Simba wanamchukua Morrison hivi hivi? Inaumiza sana.

Halafu jamaaa anasinya huku anatucheka. Jamaa wametupiga pale pale kwenye mshono. Wameutatua tena mshono. Tunaanza upyaaaa.

IMG-20200808-WA0027.jpg
IMG-20200808-WA0028.jpg
IMG-20200808-WA0026.jpg
 
Morison nikimuangalia hv naona n mchezaji asiekuwa na impact yoyote basi tu
 
Si mlisema mwizi wa magari ?
Si mlisemaHana uwezo wa kuchezea simba ?
Si mlisema pale hakuna wa kumuweka benchi ?
Nasuburi mtasema kipi sasa.
 
Si mlisema mwizi wa magari ?
Si mlisemaHana uwezo wa kuchezea simba ?
Si mlisema pale hakuna wa kumuweka benchi ?
Nasuburi mtasema kipi sasa.
Sasa tunasema Morrison ni mali ya simba akae bechi ama acheze ni uamuzi wetu wenye mchezaji
 
Back
Top Bottom