Hawa Wanachama wa JF wasiopost chochote wapo kweli?

Huyu @Mmawia mbona yuko bize sana humu, ktk jukwaa la siasa, yeye bado anampigia kampeni lowassaa!
 
Huyu @Mmawia mbona yuko bize sana humu, ktk jukwaa la siasa, yeye bado anampigia kampeni lowassaa!
 
Huyu @Mmawia mbona yuko bize sana humu, ktk jukwaa la siasa, yeye bado anampigia kampeni lowassaa!
 
@tumboo yuko wapi?
Alafu @Game Theory kaanzisha uzi wa Arsenal FC kisha kala kona na kakataa kutoa password maana uzi ktk homepage unedorora, unahitaji update! Huyu jamaa sijui yu mzima au la, Haonekani kabisa!
Na @Idimi aje kuthibitisha uwepo wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…