Hawa Wanachama wa JF wasiopost chochote wapo kweli?

Hawa Wanachama wa JF wasiopost chochote wapo kweli?

Kuna members wengi humu jf tangu uingie mwaka 2015 sijaona wakichangia wala kutoa Post ya habari yoyote ile, sasa hapo ndipo ninapojiuliza kuwa hawa members bado wapo hai Au tayari wameshatangulia mbele ya Haki!!!!!??

Basi tukielekea kuumaliza mwaka wa 2015 na kuingia mwaka mpya wa 2016 ni vizuri kila mmoja wetu aka-comment neno "Hai" ili kujua kama bado tupo wote au kuna wale waliotangulia mbele ya Haki.
Mpe taarifa member mwenzio aje hapa aweke Comment.
Mimi nawapa taarifa wafuatao, #Cnjona, #bantulady #mmawia.
Hapo vipi....?
 
Tukichangia maoni yetu yanapuuzwa tukaona bora kukauka kimya_kimya
 
avatar yangu inatumiwa watu kibao toka juzi imekaaje hii, au niwashtaki
Hata mm pia hilo tatizo nimeliona, kuna Jamaa anatumia Avatar yangu, sijui ni mgeni humu Jukwaani!!!!!
 
wengine wameaga Dunia at it ujue wengi wanatumia I'd zisizo zao... so HATA ukisikia fulani Kadanja huwezi jua atii
 
Kweli nachukia sana ninapoona mtu anatumia avatar yako cz me nikionaga picha yako najua ni wwe kumbe kuna mijitu imecopy
Inaboa sana hii kitu!! Kuna watu ubunifu "F" yaani unajua kabisa kuwa hii ni avatar ya mtu fulani halafu ww unakuja kuitumia hiyo hiyo. Kuna boya nimeliona asubuhi ya leo anatanua na avatar yangu, NIMEBOREKA.
 
Back
Top Bottom