Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

Hawa wanajeshi katili ni wa wapi?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.

Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?

TAHADHARI: Video hapo chini ina matukio ya kutisha. Usiiangalie kama huna ustahimilivu wa kutazama matukio ya kutisha.
 

Attachments

  • VID-20231026-WA0000.mp4
    16.6 MB
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.

Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Yoote haya Chanzo chake ni Siasa, Madaraka, uongozi, fedha na Starehe.

Mnasema kweli Mungu yupo?

Mimi ni Mkristo lakini inabidi nianza kufikiria Upya hii Doctrine ya Uungu wake.

Matukio yanayoendelea Duniani na watu wanaojifanya wana Dini ni Ushahidi Kabisa kuwa Duniani hakuna Uwepo wala Udhibiti q Nguvu za Mungu.

Ama Mungu ametutupa Mkono kutokana na Dhambi zetu au Mungu anayedhaniwa Yupo basi ni Bosheni tu.

Sio Kufuru lakini najaribu Kutaka kuona Nguvu za Mungu.

Na Mungu aliyehai Aonekane.

Ifike Mahali Mungu tumwambie Ukweli kama Yeye ni Yehova basi tunamtaka aonekane kwa watu wake.

Huo Ukatiri hata Shetani hawezi fanya hadharani.
 
Back
Top Bottom