Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini?Sijawahi kuwa na urafiki na polisi ama mwanajeshi, labda ni ule urafiki wa kusubiria tatizo linitokee ninasuliwe.
Absolutely, hujakosea hata kidogo.Hao wanajeshi wakimaliza kazi hiyo ndio wale unasikia wanapandishwa vyeo vya nishani sijui na nini tena.
Ogopa sana ukisikia Mwanajeshi anapandishwa cheo🤣🤣
Ulichosema kina ukweli fulani. Matukio kama haya yanatokea kila siku ktk hizi nchi zetu za ki-Afrika ambazo utawala wa kiimla umetamalaki. Hao watu ambao wamekuwa wakitekwa kila siku na "watu wasiojulikana" wamekuwa wakiuliwa kikatili namna hii na wakati mwingine wanauliwa kikatili zaidi ya namna hii. Ni hatari sana.Halafu wanaouwawa mara zote ni Civilians na wasomi ambao hawaungi mkono juhudi za Dikteta fulani.
Mimi naamini hata Ben Saanane tukio kama hilo lilifanyika usiku wa manane huku likisimamiwa na Katibu Mwenezi fulani.
Tuliona hata kule Burundi na RwandaAbsolutely, hujakosea hata kidogo.
Inasikitisha sana.Ulichosema kina ukweli fulani. Matukio kama haya yanatokea kila siku ktk hizi nchi zetu za ki-Afrika ambazo utawala wa kiimla umetamalaki. Hao watu ambao wamekuwa wakitekwa kila siku na "watu wasiojulikana" wamekuwa wakiuliwa kikatili namna hii na wakati wanauliwa kikatili zaidi ya namna hii. Ni hatari sana.
Na wengine wanaenda kanisani na misikitini🤣🤣Jamaa akimaliza kuua anarudi nyumbani kwake anaikumbatia familia yake kwamba katoka kazini
Matukio kama haya mbona ni ya kawaida sana, hususani kwenye hizi nchi zetu za ki-Afrika ambako kuna tawala nyingi za kiimla na zisizostaarabika. Nilipokuwa kwenye nchi fulani ktk mihangaiko ya maisha, nilibahatika kukutana na Mwanajeshi Mmoja Mstaafu wa iliyokuwa nchi ya Zaire (sasa Congo DRC), anaishi Uhamishoni ktk nchi hiyo ya kigeni tangu mwaka 1998 baada ya Rais Mobutu Seseseko kupinduliwa. Mwanajeshi huyo alikuwa miongoni mwa top levels kwenye Kikosi Maalumu cha Ulinzi wa Viongozi wa Juu wa Serikali enzi hizo. Alinihadithia baadhi ya matukio yaliyofanyika ktk nyakati za Utawala wa Rais Mobutu, hasa hasa kipindi cha mwisho kabisa kabla Serikali ya Mobutu kupinduliwa, matukio ya kutisha sana. Watu kila siku walikuwa wanaletwa nyumbani kwa Rais kijijini kwake Gbadolite usiku na mchana. Ndege na helikopta za jeshi zilikuwa hazikauki kuwaleta nyumbani kwa Rais watu ( Wapinzani wa Utawala wa Mobutu) ili kwenda kuuawa.Watu (raia na wanajeshi waliohisiwa kuwa ni waasi ) walikuwa wanakusanywa kutoka pande zote za nchi na kupelekwa Gbadolite, Makazi ya Rais yaligeuzwa kuwa ni sehemu ya Kunyongea watu, ikiwamo na Viongozi wa ngazi za juu kabisa Serikalini ambao Mobutu aliwahisi kwamba wanamsaliti nao pia walinyongwa, yeye aliponea chupuchupu kuuawa, alitoroka Ikulu siku moja baadaye mara tu Mobutu alipomnyonga Mkuu wake wa Majeshi Jenerali Mahele. Alinihadithia habari za kutisha sana, huwezi kuamini kwamba mambo hayo aliyoeleza yanaweza kufanyika hapa duniani. Ni hatari sana.Sitaki kuamini kuwa hilo ni tukio halisi! Labda ni video ya kutengenezwa.
Duuh Mambo ya kutisha.Matukio kama haya mbona ni ya kawaida sana, hususani kwenye hizi nchi zetu za ki-Afrika ambako kuna tawala nyingi za kiimla na zisizostaarabika. Nilipokuwa kwenye nchi fulani ktk mihangaiko ya maisha, nilibahatika kukutana na Mwanajeshi Mmoja Mstaafu wa iliyokuwa nchi ya Zaire (sasa Congo DRC), anaishi Uhamishoni ktk nchi hiyo ya kigeni tangu mwaka 1998 baada ya Rais Mobutu Seseseko kupinduliwa. Mwanajeshi huyo alikuwa miongoni mwa top levels kwenye Kikosi Maalumu cha Ulinzi wa Viongozi wa Juu wa Serikali enzi hizo. Alinihadithia baafhi ya matukio yaliyofanyika ktk nyakati za Utawala wa Rais Mobutu, hasa hasa kipindi cha mwisho kabisa kabla Serikali
maelezo hayajajitosheleza.Matukio kama haya mbona ni ya kawaida sana, hususani kwenye hizi nchi zetu za ki-Afrika ambako kuna tawala nyingi za kiimla na zisizostaarabika. Nilipokuwa kwenye nchi fulani ktk mihangaiko ya maisha, nilibahatika kukutana na Mwanajeshi Mmoja Mstaafu wa iliyokuwa nchi ya Zaire (sasa Congo DRC), anaishi Uhamishoni ktk nchi hiyo ya kigeni tangu mwaka 1998 baada ya Rais Mobutu Seseseko kupinduliwa. Mwanajeshi huyo alikuwa miongoni mwa top levels kwenye Kikosi Maalumu cha Ulinzi wa Viongozi wa Juu wa Serikali enzi hizo. Alinihadithia baafhi ya matukio yaliyofanyika ktk nyakati za Utawala wa Rais Mobutu, hasa hasa kipindi cha mwisho kabisa kabla Serikali
Ni waislam haoSijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Waarabu! Hii jamii imelaaniwa!Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?