GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Mbona Wahutu chini ya Vikosi vya INTERAHAMWE walifanya zaidi ya hayo unyama hauna mwenyewe.Mambo ya waarabu hayo huwezi Kuta mataifa civilized yanakua hvo
Yoote haya Chanzo chake ni Siasa, Madaraka, uongozi, fedha na Starehe.Sijui hii video imeingiaje kwenye simu yangu! Sikumbuki kama nimeshawahi kupakua video kama hiyo.
Hao wanajeshi ni wa nchi gani? Mbona wamekubuhi kwa ukatili?
Mwarabu na Mwafrica tofauti yao ni Moja tu. Mmoja ana mafuta yanampa pesa mwingine ni fisadi wa mali za umma.Mbona Wahutu chini ya Vikosi vya INTERAHAMWE walifanya zaidi ya hayo unyama hauna mwenyewe.
Wale walifanya kwa wakati Moja ila mataifa ya kiarabu ni kama maisha yaoMbona Wahutu chini ya Vikosi vya INTERAHAMWE walifanya zaidi ya hayo unyama hauna mwenyewe.
Aisee kama movieSitaki kuamini kuwa hilo ni tukio halisi! Labda ni video ya kutengenezwa.
Hao wanajeshi wakimaliza kazi hiyo ndio wale unasikia wanapandishwa vyeo vya nishani sijui na nini tena.Duuh,duniani hapa panatisha sana
Ubushi Dokta wako unaona ni movie? Ha ha haAisee kama movie
Hata Syria hii ni Civil War yao ya kwanza, kama kuna nyingine labda uniambie.Wale walifanya kwa wakati Moja ila mataifa ya kiarabu ni kama maisha yao