Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Gari ipo kwenye mtaro na hiyo sehemu imejaa tope. Mvua kubwa ikinyesha mafuriko rahisi sana kutokea, ni lazima gari itolewe kwanza ili watoe tope.
Halafu uwezi jua insurance cover ya mwenye gari anaweza kuwa na comprehensive na uharibifu zaidi ndio hela zaidi kwake.
Halafu uwezi jua insurance cover ya mwenye gari anaweza kuwa na comprehensive na uharibifu zaidi ndio hela zaidi kwake.