Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
kwa hiyo mafuriko ni jambo la mzaha.Unaleta mzaha kwenye mambo serious
Km Baba yako, ukitaka fujo utapewa fujo
Swali rahisi ni kwamba, ingekuwa huyo mwanajeshi hiyo ni gari yake angeitoa kwa style hiyo?Gari ipo kwenye mtaro na hiyo sehemu imejaa tope. Mvua kubwa ikinyesha mafuriko rahisi sana kutokea, ni lazima gari itolewe kwanza ili watoe tope.
Halafu uwezi jua insurance cover ya mwenye gari anaweza kuwa na comprehensive na uharibifu zaidi ndio hela zaidi kwake.
akili gan tenaJaribu kutumia akili
IgnoreSijui ni kama Baba yangu au la ila wewe ni mpumbavu. Badilika