Leo nimechukua shati la kijeshi la braza na suruali ya kawaida nimetinga nikapita maeneo ya jeshini naona wameniita wakaniuliza we hilo si shati la kijeshi?
Mbona Wew umevaa kwani wewe ni Mwanajeshi?
Nimewaambia Nyie Wajinga nini sasa Mlitaka Nivae Vest?Naona wamenibeba Juu Juu Nasikia Raha Kweli Nahis Wananipeleka Kunipa Suruali Kabsaa....
Sipendi Kuchezewa Akili Yangu
[emoji16][emoji16][emoji16]
Pole Mkuu, lakini kwa sababu hatufahamiani ndio maana umekuwa na uchungu sana, pole sana, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika na Mungu vyombo vyote vya usalama vinavyokaa masaa 24 kulinda mipaka ya nchi na mali na maisha ya wananchi wa nchi yetu pendwa ya Tanzania, Saluti, pamoja katika kuijenga na kuilinda nchi yetu ya TanzaniaUshauri wangu tu Kwako na kwa wengine tujitahidi sana kuwa na Heshima kwa Wanajeshi wetu na tuache dhihaka dhidi yao. Yangu ni hayo tu!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Usijari Mkuu, WANAKWENDA KUKUFANYIA SHEREHE KUU MAANA WEWE NI MHESHIMIWA RAIA NA UTAIFURAHIA SANA.EEEH MUNGU BARIKI WANAJESHI WETU WA JWTZ, UZILAZE PEMA ROHO ZA MAAFANDE WENZIO EEH BWANA WA MAJESHI, AAAAAMEN ! NAKUPENDA SANA JWTZ !
Nimesahau kukuuliza, hivi umeshawahi kuishi Monduli, au Kunduchi, nahisi kama nakufananisha, sina mzaha kabisa na hili Jeshi,sina dhihaka nalo kabisa, maana ndilo linalonifanya leo hii niweze kuchati na wewe kuuona huu ujinga wangu!!!!Ushauri wangu tu Kwako na kwa wengine tujitahidi sana kuwa na Heshima kwa Wanajeshi wetu na tuache dhihaka dhidi yao. Yangu ni hayo tu!
Mkuu, unacheka nini Ndg yangu ?[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Pole Mkuu, lakini kwa sababu hatufahamiani ndio maana umekuwa na uchungu sana, pole sana, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika na Mungu vyombo vyote vya usalama vinavyokaa masaa 24 kulinda mipaka ya nchi na mali na maisha ya wananchi wa nchi yetu pendwa ya Tanzania, Saluti, pamoja katika kuijenga na kuilinda nchi yetu ya Tanzania
Nimesahau kukuuliza, hivi umeshawahi kuishi Monduli, au Kunduchi, nahisi kama nakufananisha, sina mzaha kabisa na hili Jeshi,sina dhihaka nalo kabisa, maana ndilo linalonifanya leo hii niweze kuchati na wewe kuuona huu ujinga wangu!!!!
Kwa uaminifu, utii na uhodariUsijari Mkuu, WANAKWENDA KUKUFANYIA SHEREHE KUU MAANA WEWE NI MHESHIMIWA RAIA NA UTAIFURAHIA SANA.EEEH MUNGU BARIKI WANAJESHI WETU WA JWTZ, UZILAZE PEMA ROHO ZA MAAFANDE WENZIO EEH BWANA WA MAJESHI, AAAAAMEN ! NAKUPENDA SANA JWTZ !
Sawa mkuuNdio maana linaitwa jukwaa la mizaha na mambo yasiyokuwa ya muhimu, but wote wana akili timamu kama za kwako!!!