Hawa wanajeshi wana roho nzuri sana

Hawa wanajeshi wana roho nzuri sana

farusofia

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
539
Reaction score
553
Leo nimechukua shati la kijeshi la braza na suruali ya kawaida nimetinga nikapita maeneo ya jeshini naona wameniita wakaniuliza we hilo si shati la kijeshi?
Mbona Wew umevaa kwani wewe ni Mwanajeshi?
Nimewaambia Nyie Wajinga nini sasa Mlitaka Nivae Vest?Naona wamenibeba Juu Juu Nasikia Raha Kweli Nahis Wananipeleka Kunipa Suruali Kabsaa....
Sipendi Kuchezewa Akili Yangu

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ushauri wangu tu Kwako na kwa wengine tujitahidi sana kuwa na Heshima kwa Wanajeshi wetu na tuache dhihaka dhidi yao. Yangu ni hayo tu!
 
Usijari Mkuu, WANAKWENDA KUKUFANYIA SHEREHE KUU MAANA WEWE NI MHESHIMIWA RAIA NA UTAIFURAHIA SANA.EEEH MUNGU BARIKI WANAJESHI WETU WA JWTZ, UZILAZE PEMA ROHO ZA MAAFANDE WENZIO EEH BWANA WA MAJESHI, AAAAAMEN ! NAKUPENDA SANA JWTZ !
 
Pole Mkuu, lakini kwa sababu hatufahamiani ndio maana umekuwa na uchungu sana, pole sana, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika na Mungu vyombo vyote vya usalama vinavyokaa masaa 24 kulinda mipaka ya nchi na mali na maisha ya wananchi wa nchi yetu pendwa ya Tanzania, Saluti, pamoja katika kuijenga na kuilinda nchi yetu ya Tanzania
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Aisee! Haya nayaonaga EATV Facebook page...kumbe yapo huku nako!
Ndio maana linaitwa jukwaa la mizaha na mambo yasiyokuwa ya muhimu, but wote wana akili timamu kama za kwako!!!
 
Ushauri wangu tu Kwako na kwa wengine tujitahidi sana kuwa na Heshima kwa Wanajeshi wetu na tuache dhihaka dhidi yao. Yangu ni hayo tu!
Nimesahau kukuuliza, hivi umeshawahi kuishi Monduli, au Kunduchi, nahisi kama nakufananisha, sina mzaha kabisa na hili Jeshi,sina dhihaka nalo kabisa, maana ndilo linalonifanya leo hii niweze kuchati na wewe kuuona huu ujinga wangu!!!!
 
Kumbe ni jukwaa la mizaha basi vizuri lasivyo wangetaka uwaonyeshe alipo marehemu wao uliyemuua na kuvaa sare zake
 
Pole Mkuu, lakini kwa sababu hatufahamiani ndio maana umekuwa na uchungu sana, pole sana, Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika na Mungu vyombo vyote vya usalama vinavyokaa masaa 24 kulinda mipaka ya nchi na mali na maisha ya wananchi wa nchi yetu pendwa ya Tanzania, Saluti, pamoja katika kuijenga na kuilinda nchi yetu ya Tanzania

Akhsante kwa kunielewa na nikutakie tu siku njema na Mapinduzi mema.
 
Nimesahau kukuuliza, hivi umeshawahi kuishi Monduli, au Kunduchi, nahisi kama nakufananisha, sina mzaha kabisa na hili Jeshi,sina dhihaka nalo kabisa, maana ndilo linalonifanya leo hii niweze kuchati na wewe kuuona huu ujinga wangu!!!!

Hapana Mimi siishi Tanzania bali napatikana sana katika hizi nchi tatu za Rwanda, Uganda na Colombia japo hapo nyuma nilikuwa nikiishi sana katika Kisiwa cha Puerto Rico ila nimehama kutokana na kile Kimbunga na ile Tufani kubwa iliyoharibu kila kitu huko. Huko Kwenu Tanzania niliishi tu miaka ya 90 ila sasa Tanzania naishi Tanzania kupitia tu Mitandaoni ila sipo huko na Members wote wa JamiiForums wanajua kwamba siishi nchini Tanzania japo ni nchi ambayo naipenda sana pengine hata kuliko nchi zote zilizopo duniani.
 
Usijari Mkuu, WANAKWENDA KUKUFANYIA SHEREHE KUU MAANA WEWE NI MHESHIMIWA RAIA NA UTAIFURAHIA SANA.EEEH MUNGU BARIKI WANAJESHI WETU WA JWTZ, UZILAZE PEMA ROHO ZA MAAFANDE WENZIO EEH BWANA WA MAJESHI, AAAAAMEN ! NAKUPENDA SANA JWTZ !
Kwa uaminifu, utii na uhodari
 
Back
Top Bottom