Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Kwenye kamati ya ufundi namuongeza mshana jr kama manager ataelewa wapi band ikipiga show itajaza zaidi kupitia zile bainokla zake kilingeni msata.
 
Wakati wakionana tu na NAHUJA wanaanzishiana matusi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila nahuja namkubali sana anawapa matusi ye na hr halaf hr ndio the list juzi kamtukana nahuja mpaka kapewa ban
 
Shunie kumbe na ww uko vzr ee kwa kugundua id ...kumbe ata huyu nae anazo
Hyo tela vista naionaga sikuhz mpya kumbe ndo huyu
Wanachokosea hawa wabadilisha I'd Ni kwamba post zao za zamani zipo mathread yapo kama kawaida lazima ujulikane tu
 
I hope ushawahi kuona picha yangu..
Nupo cool, Quite saana mm ujanja wangu ni kwenye kuandika tu sio kuongea, Kwanza siwez kuongea mbele za watu..
Ila hapa unaweza dhania mm ni mcharuko..
Unapenda kutukana kwakweli toka nikujue tena una sehem zako za kutukana
 
Kuna siku nilikusoma sijui uzi gani nilicheka mtu alikuquote kwa I'd yako ile nyingine ukamwambia me sitaki marafiki kabisa humu ahahha
Alfu ile siku nilikuwa nimevurugwa mixer kuumwa ndyo maana nikamjibu hivyo
 
I hope ushawahi kuona picha yangu..
Nupo cool, Quite saana mm ujanja wangu ni kwenye kuandika tu sio kuongea, Kwanza siwez kuongea mbele za watu..
Ila hapa unaweza dhania mm ni mcharuko..
Aibu zitakupeleka pabaya mtto wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…