Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Ni kweliHata ww bahat yako tumezoeana sana ndo maana unazifaham..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweliHata ww bahat yako tumezoeana sana ndo maana unazifaham..
Huo ni utapeli pia kama wa TMT
Wakati wakionana tu na NAHUJA wanaanzishiana matusiMondray ahahha nimecheka sana wewe hupendi kutukana akiii labda kwa asiokujua
Mondray ahahha nimecheka sana wewe hupendi kutukana akiii labda kwa asiokujua
Shunie kumbe na ww uko vzr ee kwa kugundua id ...kumbe ata huyu nae anazoGentries ndio hii kuna ile alikua anatumia inaitwa rayvann sasa hivi inatumia tela vista
Tushakua mabest na huyo manzi jordi polar ndio aliniingiza mkenge...Wakati wakionana tu na NAHUJA wanaanzishiana matusi
Acha kuzingua sina 5Ww mbona una id tano..
Jifunze kuishi na watu vizuri mkuuTushakua mabest na huyo manzi jordi polar ndio aliniingiza mkenge...
Ila anamatusi huyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila nahuja namkubali sana anawapa matusi ye na hr halaf hr ndio the list juzi kamtukana nahuja mpaka kapewa banWakati wakionana tu na NAHUJA wanaanzishiana matusi
Unapenda kutukana kwakweli toka nikujue tena una sehem zako za kutukanaShunie sema ukweli wako unavyo nifaham je mm napenda kutukana..?
Sema ukweli
Wanachokosea hawa wabadilisha I'd Ni kwamba post zao za zamani zipo mathread yapo kama kawaida lazima ujulikane tuShunie kumbe na ww uko vzr ee kwa kugundua id ...kumbe ata huyu nae anazo
Hyo tela vista naionaga sikuhz mpya kumbe ndo huyu
Ndiyo huyo huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila nahuja namkubali sana anawapa matusi ye na hr halaf hr ndio the list juzi kamtukana nahuja mpaka kapewa ban
Ahahhaha mnamuanzaga wenyewe juzi the list kamuanza aliyapata kisawasawa mpaka nahuja kala banTushakua mabest na huyo manzi jordi polar ndio aliniingiza mkenge...
Ila anamatusi huyo
Kuna siku nilikusoma sijui uzi gani nilicheka mtu alikuquote kwa I'd yako ile nyingine ukamwambia me sitaki marafiki kabisa humu ahahhaJifunze kuishi na watu vizuri mkuu
Mpaka nahuja kamwambia nilikua najua mtu gani kumbe ndio wewe unayenisababishia ban alimtukana sana hrNdiyo huyo huyo
Unapenda kutukana kwakweli toka nikujue tena una sehem zako za kutukana
Alfu ile siku nilikuwa nimevurugwa mixer kuumwa ndyo maana nikamjibu hivyoKuna siku nilikusoma sijui uzi gani nilicheka mtu alikuquote kwa I'd yako ile nyingine ukamwambia me sitaki marafiki kabisa humu ahahha
Aibu zitakupeleka pabaya mtto wa kiumeI hope ushawahi kuona picha yangu..
Nupo cool, Quite saana mm ujanja wangu ni kwenye kuandika tu sio kuongea, Kwanza siwez kuongea mbele za watu..
Ila hapa unaweza dhania mm ni mcharuko..
Aibu zitakupeleka pabaya mtto wa kiume