Kabisa Alonso sio hr mzee wa empty setHawezi kuwa Alonso,mbona Alonso ana chembe chembe za ustaarabu!!! HR6 kalikuwa kashenzi haswaaa
Ahahha unakumbuka uzi wa leratoKumbe HR ndio the list??? Katoto kashenzi kaleee
Naunga mkono hojaHapana Alonso sio HR Nina uhakika 100%
Alafu sikapendi kinoma hako katotoKabisa Alonso sio hr mzee wa empty set
Ooooh kumbe!! Ila wanafanana vitu vingi.Auntie Alonso sio hr hr ni the list bada ya acc zote kuunganishwa na kupigwa ban
Alonso ni toto flani hiviii lakini akili zake sio kama za hrKwani alonso kawakosea nini?
Mkitaka kumfahamu vizuri alonso muulizeni shunie anamjua kidogo
Ahahha Ila sasa hivi na i'd yake mpya anajifanya mtu wa maakili makubwa kama kokobangaAlafu sikapendi kinoma hako katoto
AhahahaOoooh kumbe!! Ila wanafanana vitu vingi.
Huu ni uchochezi ngoja akusikie mwenyeweAlonso ni toto flani hiviii lakini akili zake sio kama za hr
[emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali mkuuMhh ukishaona umewekwa kundi moja na lemutuz basi wakusini wana kamsemo kao ka "baaaa huna maana"
Embu picha zao au wanafanana nini?Ooooh kumbe!! Ila wanafanana vitu vingi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Toto tunduHuu ni uchochezi ngoja akusikie mwenyewe
Anajifanya ubongo umetanuka siku hiziAhahha Ila sasa hivi na i'd yake mpya anajifanya mtu wa maakili makubwa kama kokobanga
kuna nini hapa?Daby
yani hizo id huwa nikiziona kicheko hakiniishi-kweli kuna watu duniani wanazaliwa kwa ajili ya kufurahisha watu
Unamsingizia tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Toto tundu
Conor sikuhizi anajiita The Listyani hizo id huwa nikiziona kicheko hakiniishi-kweli kuna watu duniani wanazaliwa kwa ajili ya kufurahisha watu
Ha ha ha ha ha. Kumbe zimeunganishwa usiombe jf wakukataeeeAuntie Alonso sio hr hr ni the list bada ya acc zote kuunganishwa na kupigwa ban
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na yeye empty setAnajifanya ubongo umetanuka siku hizi
Hawajakupig ban bado Mi nmewekewa sensor nkipost tu wanasmaAhahhaha kweli vyuma vimekaza mpaka kwa mods