SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,853
- 8,252
Kuna Jamaa mmoja enzi za 2008 alikuwa na mawazo hayo hayo nafikiri aliitwa kula bleki au brekii.Wale wote wageni wa JUKWAA letu hili penda la CHITCHAT nawakaribisha sana jukwaa hili.Humu ni sehemu salama kabisa ya kuchati chochote unachojisikia ila usivunje sheria za JamiiForums.com.
Hahahahaha karibuni sana kwenye band yetu JamiiForums
Wakuu naomba katika uzi huu tuchangie kistarabu usije ukafutwa tena.Usitukane wala nini just cool down
Kwa sababu zinazojulikana za tabia za hawa watu naomba wakifungua band wakawa pamoja band yao itapata umaarufu zaidi na itakuwa ni band yenye mafanikio mno
Hawa ni baadhi ya members kwenye hiyo band(Hawa kwa namna moja au nyingine wanafanana vitu vingi sana hapa JF)
1.Money Penny(Master wa band)
2.Deogratias Kisandu
3.Beira Boy(London Baby Boyb)
4.HR666
5.The nation aka LEMUTUZI
6.Sexless
7.Youngtz
8.Gudume
9.kikoozi
10.alonso14
11.
Hii band bado haijakamilika hivyo jazia watu wenye sifa za kujumuishwa kwenye hii band.
Karibuni kujazia Band members!
Deadbody,
JamiiForums.
Halaf mtu ukijua hapa ni chit chat hutakiwi kutokwa povuHuu uzi ulikua ni utani tu ,,huyo aliesema hivyo basi kakosea kwelii hatakiwi kuchukulia vitu kwa umakini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]hahaaa hauko timamu wew
Ahahhh ulisahau ile siku kala ban akarudi kwa i'd nyingine kuendeleza matusi yakeHa ha ha ha ha. Kumbe zimeunganishwausiombe jf wakukataeee
Umeteuliwa kuwa meneja wa jf band.kuna nini hapa?
AhahahhhHawajakupig ban bado Mi nmewekewa sensor nkipost tu wanasma
kumbeConor sikuhizi anajiita The List
Kale ni ka msukule alafu huwa Niki ka attack kanaogopa kujibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na yeye empty set
Siogopi ban !!Utadungwa ban nyingine
NdiookAhahha unakumbuka uzi wa lerato
Sio anaogopa sasa hivi anajifanya mtu wa maakili makubwaKale ni ka msukule alafu huwa Niki ka attack kanaogopa kujibu
Siku akijaa na dada yake padre mcharo wataumiaSio anaogopa sasa hivi anajifanya mtu wa maakili makubwa
Shiiii..Ninong'oneze[emoji12] [emoji12]
Shunie.... who are you by the way t'll u call your fellow human being.... "empty set....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe na yeye empty set
Kuna MTU anagawa maandazi nmekutunzia umechelewa kuja@ baba swalehekuna nini hapa?
Ebu achana na mm mxxiuue angalia niliyekua naongea naeShunie.... who are you by the way t'll u call your fellow human being.... "empty set....
Scientifically can you prove which measure u apply'd to dertimine some one,s.. mind?..
Don't you think in second hand you muy be the gretest mad than one's u mantioned above??
Acha kutaka kumtapeli huyo sisterShunie.... who are you by the way t'll u call your fellow human being.... "empty set....
Scientifically can you prove which measure u apply'd to dertimine some one,s.. mind?..
Don't you think in second hand you muy be the gretest mad than one's u mantioned above??
Hahaha[emoji3] [emoji3]Hehehe ana kiba 100 cha akili