Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo atakuwa meneja wa band.Huyu mkuu sio kwamba unatania tu? Mbona jamaa yupo normal sana
Kumbe mkuu? chunga usipate kisukari.Una utani na sukari yetu ya warembo
Kuna mmoja alikuwaga anajiita sonko jr sijui alipotelea wapi. Nae angefaa kwenye kundi.
padri mcharolabda taarabu
Naona Uzi umefungwa kuleDeo mbemba vifaa vya band au?
Ongeza conor
NishaonaaNaona Uzi umefungwa kule
Hahahahaha wee kanyonyesheeUle uzi wetu umefutwaaaa jaman
WamereportWaliufuta aisee ,kuna watu walitukana sana .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo kwenye band kila mtu anafit Ni degree of madness kwa mtu na mtu na time to time.Mkuu kuna mtu alisema nikuweke ila mimi niakataa maana wewe ni mstaraabu japo kichwa chako ni kichafu
Ulikula ban kwa ninii tenaBaba swalehe
Huyo ndio the list ujue I'd zake zote zimepigwa banHR666 sijui ilikuaje nikamsahau ,ngoja nimuweke aisee