Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Hawa wanaJF wafungue tu band yao

Siamini we ndio umeandika hii
Umewapa ...ukawapa tenaaaa
Unaelekea kuvuka mipaka kutokana na mazoea ya kipumbavu

Kila kitu kinafaa kiishie katika mkitadha wake na mda wake as well as uhusika wake...
Nimekuwa nikikuangalia nimegundua unanichukulia kiboya
Sasa naomba huu uwe mwanzo na Mwisho Bibie[emoji16]
 
this does not relate to my previous post

onother thing is this am not mindless as how phenotypically you think..
Take your caution

Jf is place where we use fake ID and Fake Profile be keen

Because we also apply fake characters my Dude
Remain with your own mind

Tusijuane tuchukuliane hivyo hivyo.....shit[emoji49] [emoji49]
Daaah mpaka umeniandikia kizungu waaaaoooo
 
Unaelekea kuvuka mipaka kutokana na mazoea ya kipumbavu

Kila kitu kinafaa kiishie katika mkitadha wake na mda wake as well as uhusika wake...
Nimekuwa nikikuangalia nimegundua unanichukulia kiboya
Sasa naomba huu uwe mwanzo na Mwisho Bibie[emoji16]
So upo serious?mi sipo serious aisee
Hata nikikuchulia sio boya hainisadii maana sikujui na sihitaji kukujuaa zaidi ya kupishana humu
 
Back
Top Bottom