Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Mamdogo nikajua mimi ndiye CEO unampendelea kaka yako wa Chumba geni?Huyo ndio CEO mwenyewe nampaje umod
Acha haya maumivu nikapozwe na nampapapa wangu mama klaree.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamdogo nikajua mimi ndiye CEO unampendelea kaka yako wa Chumba geni?Huyo ndio CEO mwenyewe nampaje umod
TunamfyonzaIvi mnavyosemaga wanawake mxew maana yake nini?
Banii inakuita Mara paaaaap tunaona kile kibaooo..... Hahaa daah mods wangejua mtu unavyoshtuka ukikiona kile kibao !!!Huyu atanikopa bora unipe ya mod wa kike.
Kabadilika sasa hiviMkuu mbona The List ni mstaarabu tu,hawezi kuwa HR666
Ulivyo adui wangu ivyo kwanye ID zangu zngne labda omba nitumie hii hiibasi inabidi mimi na wewe tuishi humu tunavyotaka... hatupangiwi kuanzia leo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mamdogo nikajua mimi ndiye CEO unampendelea kaka yako wa Chumba geni?
Acha haya maumivu nikapozwe na nampapapa wangu mama klaree.
Nipo mamy. Majukumu ya kazi [emoji119] yananibana tuu.Ndio. Umepotelea wapi mimi miss you mingi mingi jomoni
Aise nikiwa mod nitampiga ban kuku mmoja anatembea tembea peku humu ndani haraka sana abaki na Tz akeNina list yangu ya kuwapiga ban ni ndefu sana ila mamods wataongozwa na baba angu Daby, Alonso, Dina, Sakayo, Maserati, espy na baba salehe
Hahaha.. Im out man.Banii inakuita Mara paaaaap tunaona kile kibaooo..... Hahaa daah mods wangejua mtu unavyoshtuka ukikiona kile kibao !!!
Duh!Tunamfyonza
Yaan me nina list yangu ni ndefu sanaAise nikiwa mod nitampiga ban kuku mmoja anatembea tembea peku humu ndani haraka sana abaki na Tz ake
Mara ya kwanza kupigwa ban nkajiuliza nan kanbadlishia avatar nkamwta swalehe !! Kma alkua anachezea simu hahaaa daaah nilijua kuna mjinga kahack kumbe nmechomwa( burned)Huyu atanikopa bora unipe ya mod wa kike.
Nimekumiss kidogoMimi nataka wachuchu maandazi mpe deadbody.
Anamfundsha biology mtt mkal sa hivii hana utanNimemmiss beira baby [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwahiyo ukiona umefanyiwa hivyo ujue umefyonzwaDuh!
LA Leo??? Lile ni toka jana...ngoma ililala ikaamka Leo ile.Nipo mamy. Majukumu ya kazi [emoji119] yananibana tuu.
Ila kwa tukio muhimu kama la leo nisingeweza kukosa kuhudhuria[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] lakini online anaonekanaAnamfundsha biology mtt mkal sa hivii hana utan
Yenye maharage hakuna hahaa daahHuyo jamaa ana fix hatari... yeye crash zake majimama tu yenye mpunga.
Kumbe ni tangu Jana. Dooohh siyo kwa kuumbuana hukoLA Leo??? Lile ni toka jana...ngoma ililala ikaamka Leo ile.