Hawa WanaJF wangekuwa timu zilizoshiriki Kombe la Dunia 2018 nadhani wangekuwa timu hizi

Mimi sihami, timu yangu India
 
Bias na ubinafsi. So wote mnaotaka kuwemo na hammo, na nyie undeni magroup yenu ili mfahamiane wenyewe.
duuuuhhh hahahha...by the way " JF ina members wengi mnooo ambao ni famous " nivigumu mnooo "" kwa muhusika na mada kuweza kuwakumbuka na kuwataja wote " kwenye Uzi mmoja "...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…