D
Deleted member 485868
Guest
Babu lango la pm limefungwa..Hebu njoo PM nikuambie kitu changu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu lango la pm limefungwa..Hebu njoo PM nikuambie kitu changu
Mimi sihami, timu yangu IndiaNajua wengi tunapenda Mpira sasa leo mwenzenu nahisi kama hawa member wangekuwa Timu zilizoshiriki kombe la Dunia wangekuwa kama ifuatavyo:
1. Mshana Jr -Crotia
2. Hajar -Belgium
3. GENTAMYCINE -Panama
4. Demiss - England
5. Davet - Germany
6. Humble African - Russia
7. mumu -Morocco
8. Mwifwa -Portugal
9. Hazard fc -Spain
10. Mama Sabrina -France
11. Shunie - Brazil
12. hearly -Nigeria
13. Mzigua90 - Peru
14. Kiranga -Japan
15. GuDume -Egypt
Demiss mm mshabiki namba moja wa England na Crotia.
Acha umbea toka lini mumu ni wako?Acheni kumuonea mumu wangu![emoji28][emoji28][emoji28]
Mbona hapa huku nisiisii hubby?Hebu njoo PM nikuambie kitu changu
Hayo yote ni maajabu ya pm mkuu!![emoji30][emoji30][emoji30]Acha umbea toka lini mumu ni wako?
Kwamba nimekuchoka?Bins hapa huku nisiisii hubby?
Sasa mbona hata mimi namtakaHayo yote ni maajabu ya pm mkuu!![emoji30][emoji30][emoji30]
pm inaficha mengi mkuu!!...tayari nimeshakupiga bao![emoji53][emoji53][emoji53]Sasa mbona hata mimi namtaka
duuuuhhh hahahha...by the way " JF ina members wengi mnooo ambao ni famous " nivigumu mnooo "" kwa muhusika na mada kuweza kuwakumbuka na kuwataja wote " kwenye Uzi mmoja "...Bias na ubinafsi. So wote mnaotaka kuwemo na hammo, na nyie undeni magroup yenu ili mfahamiane wenyewe.
hah hahahaKwamba nimekuchoka?
Akili za kuambiwa changanya na zako...
Afu umeanza lini tabia ya kunichungulia bafuni?
hahaha Anataka kujua ...""!? haumwi pressure "" asije kuzimia bure ""..Hayo yote ni maajabu ya pm mkuu!![emoji30][emoji30][emoji30]
duuuuhh"" jibu hili Kavu mnooo" kama kaukau ""..Tatizo haujulikan wajameni