We upo jukwaani unashangilia Saudie Arabiekwahiyo mimi sio member wa jf, au!
maana sijioni kwenye list yako.
Usimfananishe mme wangu na peru mme wangu crotia anacheza mpira kwa kipajiNchi nzima ya Peru ilithibitisha kua timu yao ilifuzu kwa nguvu za waganga wa kienyeji so nadhani itakua heshima kwa Mh Mshana akiwa timu ya Peru sio Croatia